Esther Passaris

Parties & Coalitions

Born

1964

Email

esther.passaris@gmail.com

Telephone

0722513328

Esther Passaris

Women Representative, Nairobi County

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 269.

  • 13 May 2021 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kusema kwanza tunashukuru kwa sababu mwanamke amechukua urais katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Napongeza Serikali yetu kwa kumkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan hapa Kenya. Tunatarajia kwamba Rais wetu akipanga mambo ya 2022 atajaribu sana kuweka wanawake huko juu kwa sababu ameona kama Afrika Mashariki inaweza kuwa na Rais mama basi Kenya pia inaweza kuwa na mama... view
  • 6 May 2021 in National Assembly: I vote yes. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: I vote Yes. view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to support the Report by the Committee of Finance and National Planning. The agenda of the Government is food security. Without having processes that are efficient, cost- effective and safe, the country cannot obviously deal with its food security agenda. I have to commend Grain Bulk Handlers for making that investment at the time that they did and giving Kenyans an opportunity to actually re-enforce its position in terms of handling of grain. However, there comes a time that a Government has to look at its own efficiency in terms of revenue ... view
  • 25 Feb 2021 in National Assembly: I agree with Hon. (Dr.) Otiende Amollo that waiting for 2022 to consider other players in the market when we should have actually done this in 2018 would be denying the Government the kind of revenue that it needs right now. In addition, it denies Kenyans, traders and the people that actually work in this area the opportunity to have more profits. It seems like the profits are tilted towards Grain Bulk Handling and not the various players – not even the Government itself. Moreover, I feel the fact that the small timers who handle the 2 per cent that ... view
  • 9 Feb 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to pay tribute on my own behalf, my family, and the County of Nairobi to the family of the late Simeon Nyachae and the people of Kisii and, indeed, the entire country. Hon. Simeon Nyachae was not just a politician and a civil servant, but also an astute businessman. In addition, he made his mark in this country. I believe that everybody who will care to look at the history books will realise that there was a man called Simeon Nyachae who played a big role in this country. He also vied for presidency. ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Mhe. Spika, nimesimama leo kumuunga mkono mwenzangu, Hon.Owen Baya, kwa hili ombi ambalo ameleta hapa Bungeni. Mimi mwenyewe ninafahamu sana watu ambao hawana ukoo nchini. Tumekaa na watu hao kwa miaka miwili tukizungumza, wakitueleza shida ambazo wanapatana nazo. Walipoona Rais akipeana vyeti vya kukaa kwa Wanamakonde, hawa wa Kibera pia waliona kuwa wana uwezo. Saa zile Washona walikuja hapa Bunge kutuletea ombi lao, walisema kuwa Rais wa kwanza, Mhe. Jomo Kenyatta, aliwatambua na kama angekuwa amebarikiwa na maisha ya mbeleni zaidi, angekuwa ameshawatimizia ombi lao la kuonekana na kujulikana kama Wakenya. Washona wenyewe walipewa shamba karibu na Chuo kikuu cha ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: lao. Ni watu ambao wana maombi na wanakaa na ukweli na undugu na Wakenya. Hawajui nchi nyingine. Wakoloni walipokuwa hapa, walileta watu kutoka Afrika nzima. Tuko na watu kutoka Rwanda, Zimbabwe, Pemba na Tanzania. Hao watu wote waliletwa hapa kukaa na sisi na kufanya kazi kama kujenga reli. Lakini sasa wako na shida sana. Hawatambuliwi. Tukiwa na hii Huduma Namba, watakuwa na shida zaidi. Hata kama tunataka kuwatambua kama Wakenya, ni lazima pia tuwasamehe kwa sababu kuna mambo waliyofanya, ambayo si ya haki – kama kwenda kuchukua vitambulisho ama kuwaandikisha watoto wao kuwa wamezaliwa Kenya ili waweze kwenda shule au ... view
  • 17 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I had put my card to contribute to the next topic. view
  • 17 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First, I would like to thank Hon. Anthony Kiai for sharing his experience with us as a The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus