22 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, it will be ready on Wednesday next week.
view
22 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I will bring it on Thursday this week.
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ninaomba kujibu. (a) Ninafahamu ya kwamba wakazi wa eneo la Samburu wamekumbwa na shida kubwa ya uhaba wa maji kutokana na hali ya ukame ambayo imekumba maeneo ya kaskazini, mashariki na sehemu nyingine za Jamhuri ya Kenya. Ukame huu umeathiri sehemu nyingi huku maji katika visima yakipungua na mabwawa ya maji yakikauka. (b) Wizara yangu, kupitia kwa Northern Water Services Board, imeandaa njia kabambe za kusambaza maji katika eneo la Samburu kutumia malori huku usambazaji wa maji kutoka kwa visima na mabwawa ukiendelea. Eneo la samburu litanufaika na shilingi milioni kumi ambazo Wizara yangu imetenga ili kudumisha ...
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, niko na thibitisho kwamba tumetuma pesa katika sehemu hizi. Niko na nakala ya Authority to Incur Expenditure (AIE) kuonyesha kwamba tarehe 21 mwezi uliopita, tulituma shilingi milioni tano katika Samburu East na shilingi milioni mbili na nusu katika Samburu North. Pia, tulituma milioni mbili na nusu katika Samburu Central tarehe 20 mwezi uliyopita. Niko na nakala hizi kuthibitisha kwamba hizi pesa zimetumwa kule ili waweze kuzitumia.
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, sioni kama kuna haja anisaidie kwa sababu AIE ni kibali cha kutumia pesa za Serikali.
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, hizi pesa zitatumiwa kukomboa lori kutoka kwa watu binafsi. Tumewapatia tenki za kubebea maji kwa lori.
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu wa Spika, Wizara yangu, kutoka makao makuu, hutoa idhini ya kutumia pesa kwa afisa mkuu wa maji wilayani. Akishapata AIE, anakuwa na ruhusa ya kutumia pesa kulingana na mahitaji yao. Tumeshatuma malori mawili ya kusafirishia maji, na tayari yako huko. Tumetuma lori moja kutoka kwa kikosi cha Askari Tawala (AP), ambalo ni Four Wheel Drive, ndiyo liweze kupita kwenye barabara mbovu. Pia tumetuma lori lingine kutoka kwa Idara ya Huduma kwa Vijana wa Taifa (NYS). Tumeshawatumia pesa ambazo watatumia kukomboa malori na kununua vipuri vya magari.
view
16 Feb 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu wa Spika, miongoni mwa matumizi ya pesa tulizotuma ni kununulia magurudumu magari kama hayo. Tumeshatuma lori lingine ambalo liko na magurudumu yote.
view
15 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I beg to reply. (a) The discharge of River Omo is about 20 billion cubic meters per year and contributes 90 per cent of Lake Turkana waters. River Turkwel discharges 0.25 million cubic meters per year while Kerio River discharges 193.47 cubic meters per year. River Kawalase is a seasonal river which flows only during rainy seasons around Loima Hills. (b) My Ministry, through the Rift Valley Water Services Board have designed a project to abstract water from River Turkwel to serve Lokichar, Katilu, Kalimorok, Kakong and Nakabosan areas of Turkana County at a cost ...
view
15 Feb 2011 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, the records available to me indicate that the Rift Valley Water Services Board is implementing 33 water projects in this financial year. Some of these projects include boreholes and shallow water pans in Turkana County. I wonder whether that covers his constituency.
view