5 Jun 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, our Ministry has already taken steps to control the funds. We have taken action against those who were concerned. I promise that in future, no funds will be misappropriated on this particular project from the World Bank.
view
5 Jun 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, first and foremost, the suspension of the Project was lifted just last month. Retendering has started and the works will start from next month. It is true that we have had some problems at the district level and the Ministry has instructed the constituencies and the districts to form committees of all the stakeholders, like KERA, so that supervision can be enhanced.
view
5 Jun 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, it is still under the Ministry of water and Irrigation.
view
5 Jun 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I confirm that retendering has already started. We expect to complete retendering by next month. I promise that the projects will be completed by October, 2012.
view
30 May 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, naomba kujibu.
view
30 May 2012 in National Assembly:
(a) Wizara ya Maji na Unyunyizaji imekuwa na mipango ya kuvuna maji kule Samburu. Mabwawa ambayo yamechimbwa au kutolewa mchanga ni 20. Mabwawa haya yamevuna na yanahifadhi maji wakati huu wa mvua. Kiasi cha maji yaliyovunwa ni lita 500,000.
view
30 May 2012 in National Assembly:
(b) Mabwawa ambayo yameingia mchanga ni 28 katika eneo la Samburu. Lakini haya mabwawa hayajafunikwa kabisa na mchanga na yako na maji machache. Wizara iko na mipango ya kutoa mchanga unaozuia mabwawa haya kuvuna maji ya kutosha.
view
30 May 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, kuna zaidi ya mabwawa 90 katika sehemu hiyo ya Samburu. Kulingana na rekodi yangu, kuna mabwawa 19 yaliyo na maji ya kutosha. Kuna mabwawa 28 ambayo yamefunikwa kiasi na mchanga. Mabwawa haya yana maji machache. Wizara yangu ina mipango maalum ya kuhakikisha mchanga wote umetolewa kutoka mabwawa hayo. Punde tu mvua ikipungua tutafanya hivyo.
view
30 May 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, niko tayari kuzuru mabwawa hayo hata kama si wiki hii. Ninaomba Bunge hili kuniruhusu nifanya hivyo wakati wa likizo.
view
30 May 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, Wizara yangu ina mipango mingi ya kuchimba mabwawa mengi katika kila wilaya. Wakati huu tuna mipango ya kuchimba zaidi ya mabwawa 22 hapa nchini. Tayari tumeshaanza kuchimba mabwawa matano makubwa katika wilaya mbalimbali hapa nchini.
view