Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 382.

  • 15 Jun 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Chairman. I am not on that one. view
  • 15 Jun 2017 in National Assembly: Just a moment, Hon. Deputy Chairman. I seem to be lost. view
  • 15 Jun 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Chairman. view
  • 15 Jun 2017 in National Assembly: On page 703 of the Order Paper, I have here New Standing Order 240A and 240B, but that has been skipped to where we are now. view
  • 15 Jun 2017 in National Assembly: No. view
  • 17 May 2017 in National Assembly: Asante Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie mjadala huu wa taarifa hii. Nimesoma na nimesikiza kwa makini wenzangu wakijadili. Lakini yapasa pia tuwe na shukrani kwa Mwenyezi Mungu na hata kwa Serikali iliyoko wakati wa sasa. Tukichukua mfano wa Kibra kama alivyosema Mhe. Ken Okoth, amekubalia hata ijapokuwa uchafu fulani ulikuwa ukiendelea katika Wizara, huduma hii ya taifa imebadilisha kiwango kikubwa eneo Bunge la Kibra. Na sio eneo la Kibra pekee yake ambalo limepata kubadilika, hata maeneo mengine hasa kwa upande wa tabia ya vijana maana wanapata mafunzo mbali na kazi ile wanafanya. Wanapata mafunzo ambayo ni ... view

  • 17 May 2017 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kama anavyosema Mhe. Ken Okoth, ahadi zilikuwa kima cha ndovu lakini kilichotendeka ni kima cha sungura. Sawa, hicho kima cha sungura hakikuwepo mbeleni. Unastahili kuwa na shukrani. Ieleweke kwamba kuanza jambo si kazi rahisi. Huwa kuna changamoto nyingi unapoanzisha jambo. Kuna uwezekano kwamba yote yaliysajiliwa hapa yalitendeka. Lakini kufikia hivi sasa tunapozungumza, hali imerekebishika. Nimesema kutoka mwanzo kwamba naunga mkono Ripoti hii na ningependa hatua za kisheria zichukuliwe kwa waliohusika. Pamoja na hayo, ninasisitiza kwamba mabadiliko yale ambayo yameletwa na huduma hii ya vijana kwa taifa sharti tuyapongeze. Kazi yao inaonekana kote nchini. Ningependa ... view

  • 2 Mar 2017 in National Assembly: On a point of intervention, Hon. Speaker. view