Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 382.

  • 24 May 2007 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika. Ninaomba kuitisha Taarifa ya Wizara kutoka kwa Wizara ya Ardhi na Makao. Kabla sijafanya hivyo, ningetaka kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wa Magarini kwa vile ambavyo walithibitisha ya kwamba mwaka wa 2002 walipiga kura mahali ambapo ndipo, kwa sababu palikuwa ndipo, na wakarejelea kupiga ndipo. Hili ni hakikisho--- view
  • 24 May 2007 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika--- view
  • 24 May 2007 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu wa Spika. view
  • 24 May 2007 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, ninaomba kuitisha taarifa. Maiden speech nitaitoa baadaye. view
  • 24 May 2007 in National Assembly: Ndiyo, Bw. Naibu wa Spika! view
  • 24 May 2007 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, ninamuomba Waziri wa Ardhi na Makao atoe taarifa na kueleza ni kwa nini wakazi wa Marereni na Kanagoni walioko katika maeneo ya chumvi wanahangaishwa musimu huu wa kilimo. Wakazi hao wametayarisha mashamba yao kwa kutumia matingatinga na kupanda mahindi, lakini, hivi majuzi, walivamiwa na askari, wakabebwa na kuwekwa korokoroni kinyume cha sheria. Ningependa Waziri pia aeleze kinaganaga jinsi mashamba hayo yalivyotolewa kwa wawekezaji wa kibinafsi, ikifahamika kwamba kuna watu ambao wameyaimarisha mashamba hayo ya kilimo kwa muda wa zaidi ya miaka 12. Kufikia sasa, zaidi ya miaka 30 imepita tangu wakati wakazi hao walipoyabuni na kuyahifadhi ... view
  • 7 Dec 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. You said that this is the time for all hon. Members to be heard. It is unfortunate that I am the only one from my party, but I have not been given the opportunity to speak. I have been standing here unnoticed for so long. view
  • 6 Dec 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir. I wish to seek clarification from the Assistant Minister. He has amended part (ii) of the proposed amendment by withdrawing the word "shall" and replacing it with "may". The word "may" gives the Minister an option. He may appoint, or he may not appoint, the Director-General referred to in this new Clause 2. Mr. Temorary Deputy Chairman, Sir, now, in case the Minister opts not to appoint the Director-General, who else will do so? view
  • 29 Nov 2006 in National Assembly: on behalf of view
  • 29 Nov 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, it is rather unfortunate that the Assistant Minister has said that he is not aware of the emotional tempers which are about to flare up in the area. Last week, surveyors were sent away by villagers. Could the Assistant Minister consider getting to the ground to see what is going on there? He should also lay the list on the Table of this House because there are title deeds which are being issued by the Ministry. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus