All parliamentary appearances
Entries 31 to 40 of 382.
-
25 Aug 2016 in National Assembly:
( Inaudible )
view
-
25 Aug 2016 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
25 Aug 2016 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
25 Aug 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, is the Hon. Member in order to say that the issue of party hopping came from Jubilee when he was not a member of the Select Committee?
view
-
25 Aug 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, is the Hon. Member in order to say that the issue of party hopping came from Jubilee when he was not a member of the Select Committee?
view
-
6 Jul 2016 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika kwa kunipa nafasi kutia sauti yangu. Ijapo mengi kuhusu mawiano yamezungumzwa, pengine wenzangu hawaoni ninakoona. Wasiwasi nilio nayo ni kwamba wanaorudishwa huenda ni kwa nia ya kutumika vibaya katika Kamati hii na si kwa malengo ya kuendeleza mbele suala tulilonalo. Inawezakuwa ni kwa malengo ya kuturudisha nyuma na kutuelekeza sehemu ambayo haitatufaa kamwe. Ikiwa ni hivyo, na huyo ni pepo, ashindwe kwa jina la Yesu. Nina ombi kwa wanaorudi kwa hii Kamati. Naomba waende wakawe mabalozi wema katika Kamati na wakafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria tupate tulichonacho mbele yetu. Suala la IEBC ni nyeti. Suala ...
view
-
23 Jun 2016 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii nichangie Mswada huu. Mswada huu utaondoa utata ambao upo kwa wakati huu. Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneo Bunge (NGCDF) inakumbwa na utata. Kwa upande wangu, nilikuwa nimejipanga niitumie kurekebisha barabara mbaya katika Eneo Bunge langu. Barabara hizo zinachukuliwa kwamba ziko chini ya kaunti. Ili kuzirekebisha, ni lazima barua iandikwe kwa kaunti, upewe idhini ndipo uweze kutumia hela za NGCDF kufanya miradi ambayo imegatuliwa. Utata huo utapotea kupitia Mswada huu. Baada ya haya yote kutendeka, ninaisihi Serikali kuu ifikirie barabara za Eneo Bunge la Magarini. Ni jambo la kusikitisha ...
view
-
23 Jun 2016 in National Assembly:
ninavyozungumza, ukipita Marereni kuelekea mbele ni mashimo tupu. Hivi sasa wameanza kutoka Malindi ndivyo wanaanza kuweka lami yenyewe kuelekea ng‟ambo ya Lamu. Barabara kutoka Mjanaheri kuelekea Ngomeni kuna kituo cha kurushia roketi. Ni kituo kinachostahili kuingiza hela nyingi sana hapa nchini lakini kwa sababu kiko chini ya utawala wa Italia, kituo kile kinapatia hela nchi ya Italia badala ya Kenya. Nchi ya Italia inapata shilingi bilioni 75 kwa mwaka kutoka kwa nchi ya Ufaransa kwa kukitumia kituo kile. Kulingana na marekebisho tuliyoyafanya hapa Bungeni, iwapo kituo hicho kingekuwa kimerudi kwa Serikali, pesa hizo zingeingia hapa nchini na barabara ya Ngomeni ...
view
-
7 Jun 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I support the position of the Committee regarding the amendment. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
7 Jun 2016 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ni masikitiko kwamba aliyeshiba hajui mwenye njaa. Ujenzi wa sehemu ya pili ya kituo hiki ni muhimu sana. Nasimama kuunga mkono kwa sababu kwanza ni kituo ambacho kitaongeza nafasi za kazi kwa watoto wetu. Vijana wetu hawana kazi na kwa wakati huo ambapo ujezi utakuwa ukiendelea, wataajariwa na pia vile vile ukikamilika, kuna wengine wengi ambao wataajariwa.
view