Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 382.

  • 22 Mar 2016 in National Assembly: Withdraw! view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: I support the amendment because it gives the Board power to act on the records or obtain people capable of keeping health records. It is in order and I support. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Asante Mhe.Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie mjadala huu. Kwanza, ningependa kusema kwamba ninaunga mkono wateule hawa. Hata hivyo, ningependa kumuuliza Mhe. Rais wakati mwingine akifanya uteuzi afahamu kwamba kuna makabila 42 ambayo yangetamani kufanya kazi katika Serikali. Tukiangalia majina yaliyo hapa na tuseme tuite mkutano wa Wizara kujadili mambo yake, ni hakika na ni dhahiri kwamba ni lugha moja itakayozungumzwa na sii Kiingereza wala Kiswahili. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Uzalendo haujapata kuonyeshwa hapa hata kidogo. Kwa hivyo, ni kuuliza kwa unyenyekevu na kwa upendo kuona kwamba uteuzi mwingine ukifanywa uzingatie Wakenya wote na tutaunga mkono kwa sababu ni Mkenya ambaye anastahili na amechaguliwa kuwahudumia Wakenya. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Nikiangalia vile vile hapa, ni watu ambao wako na tajriba ya kutosha kufanya hii kazi. Hata hivyo, kuna Wakenya wengine ambao wako na ujuzi zaidi pengine hata kuwazidi hawa, lakini hawakupatiwa hiyo nafasi. Hata hivyo, ni kusisitiza tu kwamba wazingatie na waache na kusahau pale wanapotoka ili wahudumie Kenya yote kwa ujumla. view
  • 17 Dec 2015 in National Assembly: Tukizingatia sehemu za ujenzi wa nyumba, nyumba nyingi zimekuwa zikiporomoka kwa sababu ya usimamizi mbaya na hawa wateule wako na tajriba ya kutosha kulingana na nyanja zao. Kwa hivyo, ni imani kuwa wataweza kusimamia idara zao vizuri. Hasa yule anayesimamia idara ya ujenzi ingekuwa vizuri iwapo atazingatia mambo ya barabara kama vile tulivyopitisha hapa Bungeni kwamba kila eneo la Bunge liweze kupata kilomita ishirini kwa kila mwaka... view
  • 11 Nov 2015 in National Assembly: On a point of order. view
  • 11 Nov 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. Mine is on the Ministerial Statements, if we are there! view
  • 11 Nov 2015 in National Assembly: Yes. In the Order Paper, it is Statements. view
  • 11 Nov 2015 in National Assembly: Yes, but this one has taken too long. I am lucky today because the Leader of the Majority Party is here. I am told that it is his office that informs the CS to come and reply. I am told that the Committee had done their work and the report is ready, but I have not had the opportunity to be invited to meet the CS for the reply. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus