All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 94.

  • 7 Jun 2016 in National Assembly: I support the proposed amendment by the Chairlady because licence is very important. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I support the proposed amendment by Hon. Wario because we are now squatters in our own country. I brought a Petition here in 2014 about the degazettement of Wayu Forest, but it has not materialised to date. The same has been brought by Hon. Wario and the Committee has been sent there and until today, it has not materialised. As a matter of urgency, it is important that a Petition should come through Parliament. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Petitions should come through Parliament instead of Cabinet Secretaries because it takes too long. view
  • 8 Oct 2015 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion:- THAT, aware that tourism in Kenya, which is largely wildlife-based, generates approximately 12 per cent of the country’s Gross Domestic Product (GDP) and creates over 18 per cent of wage employment; further aware that poaching has brazenly continued to target Kenya’s wildlife and that elephants and rhinoceros are key flagship species facing threats of extinction; deeply concerned that Kenya has become a major hub for smuggling and exporting illegal ivory, rhino horn and other illicit wildlife products from the region to other regions particularly the Far East countries; noting ... view
  • 2 Jul 2015 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Yangu ni kupongeza Kamati ya Mazingira na Mali ya Asili na hasa zaidi Mwenyekiti wake. Swala la maji ni muhimu sana.Kulikuwa na mvutano mwingi sana kati ya serikali za kaunti na Serikali ya Kitaifa kuhusu ni nani atabaki na mambo ya maji. Kama ingekuwa ni kaunti inasimamia kila kitu, watu wengi wetu wangepata shida sana kwa sababu ya kuongezewa ada. Pengine unaambiwa: “Mara hii utapewa pesa hii.” Na kesho unarudishwa. Lazima kuwe na bodi ya kusimamia masuala ya maji. Sio rahisi kufikia hapa. Ni kwa sababu ya bidii ya Kamati ... view
  • 2 Jul 2015 in National Assembly: Tunawapongeza. Waendelee na kazi nzuri. Hata mimi nimefunga saumu na nimekaa mpaka dakika hii kwa sababu hii ni kazi nzuri. Tunahimiza Kamati zingine pia katika hili Bunge ziwe na bidii kama Kamati ya Mazingira na Mali Asili. Ahsante sana. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Asante mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza kabisa nachukua fursa hii kumpongeza mhe. Dawood kwa kuleta Hoja muhimu kama hii katika Bunge. Nasimama kupinga haya maono. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: I will oppose. I have a reason why I am opposing. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, swala la damu, nyumba za mahututi na kutoa damu kupeleka kwa eneo la uwakilishi Bungeni--- Hii miaka yote tunajua shida za hospitali. Tukipewa hivo vitu vyote katika maeneo ya wakilishi Bungeni, itachukua miaka 20. Kwa mfano mahali natoka--- view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ukichukua mfano wa hospitali ya Hola, imeoza, haina mochari, mahali pa kulala wala chochote. Leo unawaambia eti wachukue hii wapeleke eneo la wakilishi Bungeni. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus