Isaac Maigua Mwaura

Parties & Coalitions

Born

1982

Email

mwaura.isa@gmail.com

Web

www.isaacmwaura.com/

Telephone

0721864949

Telephone

0733864949

Link

@MwauraIsaac1 on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 1531 to 1540 of 1711.

  • 20 Nov 2013 in National Assembly: Naunga mkono. view
  • 20 Nov 2013 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. I am on a point of order because some hon. Member has just crossed the Floor without bowing to the Chair. Hon. (Ms.) Gure has just crossed the Floor without going to the Bar! view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Ahsante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kusimama na kuunga mkono Hoja hii ambayo inaweza kuhakikisha kwamba akina mama na vijana wanapata nafasi ya kuweza kutumia fedha ambazo zimetengwa na Bunge hili na Serikali kwa miradi ya biashara. Jambo ambalo linafurahisha ni kwamba watu walemavu pia wataweza kuakilishwa katika ile bodi ya kitaifa kupitia baraza la kitaifa kuhusu watu walemavu na pia katika eneo Bunge ambapo mojawapo wa wale ambao watakuwa ni wanakamati atakuwa ni mtu mlemavu ambaye atateuliwa na mashirika ya watu walemavu katika kiwango hicho. Hili ni jambo la kufurahisha kwa sababu ukiangalia maeneo yetu, kila gatuzi ... view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Naunga mkono Hoja hii kwa sababu inaimarisha vile ambavyo tunaweza kujiendeleza, ukianagalia vizuri kabisa. Lakini, pia kuna dosari kwa sababu sijui kwangu mimi kama ingelikuwa bora Hoja hii ipendekeze ule mfuko wa fedha wa akina mama na ule wa vijana uweze kujumulishwa. Wale ambao wamekuwa wakiendesha mifuko hiyo wamekuwa na ujuzi na wamepata maarifa kutokana na vile ambavyo wamekuwa wakiendesha shughuli hizo. Ndiposa tusifanye yale makosa pengine ambayo waliyafanya. Kwa mfano, wanaweza kueleza kinaga ubaga zile changamoto ambazo vijana, akina mama na watu walemavu wanapitia katika shughuli zao za kibiashara. Ninatumaini kwamba kama Bunge tutahakikisha kwamba haya maarifa yanaweza kusaidia ... view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Pia, ni muhimu kuangazia kwamba, kumekuwa na vijana wengi ambao wamekuwa na maarifa ya kuweza kuanzisha kampuni naku--- view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I think there are some few issues that I would want to clarify as a person from that sector. First and foremost, indeed, it will be undemocratic not to involve organizations or persons with disabilities in terms of them nominating their own representatives to this committee. view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Therefore, to leave that to the discretion of a Member of Parliament to come with nominees out of the five, I think we may be hesitant on that. That is how we end up not being represented. It is at the discretion of an MP, but then, the proposal that I have put across is that a list of Members nominated by organizations of persons with disabilities--- Let us not qualify in the constituency, because members must be residents of that constituency. In consultation with the MP, the House needs to agree, whether we want to delegate this to the ... view
  • 19 Nov 2013 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I have a further amendment to this so that, if possible, we settle the issue. I am looking at recognized body for persons with disabilities. So that we do not have a tug of war between the county women Member of Parliament and the constituency Member of Parliament I propose that Regulation 15(2)(a) be further amended by providing that: One person with disability per constituency nominated by the National Council for persons with disabilities. view
  • 13 Nov 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to oppose this draconian law as presented to this House. The duty to defend the Constitution of this Republic is not a monopoly of anybody; neither is it the duty to exercise powers therein which is properly delineated according to any State office or constitutional office that is created by the very document. view
  • 13 Nov 2013 in National Assembly: We have just come from a history of the second liberation struggle where Kenya had just become a police State; where you did not know who you were talking to because they could be informers of the Government. The police were used to torture, intimidate and deny privacy Members who had different opinions. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus