All parliamentary appearances
Entries 1631 to 1640 of 1711.
-
4 Jul 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. Maybe, I should replace that tern with “female circumcision”. I am saying that cultural addition happens over time. Culture is a people’s way of life. Therefore, it has to be in tune with the realities of the day. There has been the tendency of thinking that culture is something which is put somewhere for admiration. Culture must serve the purposes of its people. Therefore, if there is research evidence from various institutions, including some in countries like the Netherlands and the United Kingdom, in addition to the research findings of NACADA, we need to ...
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Wrong button, please.
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Naibu Spika, nimesimama kuunga mkono Hoja hii kwa sababu mara nyingi unakuta kwamba watu wakipatikana na mafuriko ama majanga ambayo yamesababishwa na binadamu, Serikali huwa wakati mwingi inaanza kutafuta bajeti ya kuhakikisha kwamba lile jambo limesuluhishwa. Utaona kwamba hili linatatiza ile mipango mingine ya kimaendeleo, kwa sababu ni lazima Serikali ianze kutafuta pesa za miradi ambayo tayari ilikuwa imeafikiwa.
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Jambo ambalo pia ni la kushangaza ni kwa sababu wakati kunapotokea mafuriko ama majanga kama mengine, watu wengine huchukua nafasi ile kujitajirisha, au kutafuta pesa za kuwafaidi wao binafsi. Hii nchi imeweza kushuhudia--- Kwa mfano, wakati tulikuwa na njaa na kulisemekana kwamba kulikuwa na kashfa ya mahindi. Utakumbuka kwamba pia kuna mambo ambayo yametendeka kwa IDPs. Utakuta watu pia katika janga kama lile, walichukua ile nafasi kama matapeli kupitia ununuzi wa ardhi. Hii nchi pia inajua vile ambavyo Wakenya wamekuwa wakiiomba Serikali iweze kuwasaidia ili kujikimu katika maisha ya kila siku, na katika mambo ambayo wanahitaji kama nyumba, chakula na ...
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Kwa hivyo, shirika hili likibuniwa nafikiri litakuwa ni jambo muhimu sana. Niseme kwamba Hoja hii ingepingwa na wale ambao kila baada ya muda hutaka kujinufaisha kutokana na majanga ya watu. Ni vizuri pia tuwe na hili shirika kwa sababu Wakenya wenyewe hawajaweza kuhamasishwa ni vipi ambavyo wanaweza kujikinga na adhari za majanga ambayo yanatokea. Kwa mfano, hata ukiangalia nyumba, wanawezaje kujikinga na moto ukitokea? Kwa hivyo, nimesimama kuunga mkono. Natumaini kwamba hii Hoja inaweza kuhakikisha kupunguka kwa nafasi ya watu ambao hufaidika kutokana na shida za watu wengine.
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Kwa hayo machache, naunga mkono.
view
-
3 Jul 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, I rise to support this very important Motion by the Deputy Speaker and very well seconded by hon. Ouma. If you look at Europe currently, they are in turmoil. Their economies are collapsing. They are having ageing populations because they do not have young people who can drive their economies. Those that are there are so much used to the welfare system to the point that they do not want to work. They just want to stay there
view
-
27 Jun 2013 in National Assembly:
I am sorry, hon. Chairlady. It was a wrong button. I am sorry.
view
-
26 Jun 2013 in National Assembly:
On a point of order, hon. Speaker. I rise to seek a further clarification whether it is in order under Article 173 and all the other articles concerning committees of the House not to be in any committee about four months down the line? We cannot even interrogate the Statement by the Leader of the Majority because we are not in any committee. For example, I am in the Committee on Equal Opportunities which has never met because it is not fully constituted. All of us deserve to be in committees. Is it in order?
view
-
26 Jun 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker. I rise to support the Motion but I will, first, note several things.
view