Isaac Maigua Mwaura

Parties & Coalitions

Born

1982

Email

mwaura.isa@gmail.com

Web

www.isaacmwaura.com/

Telephone

0721864949

Telephone

0733864949

Link

@MwauraIsaac1 on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 1711.

  • 24 Nov 2020 in Senate: Mwenyekiti sijakupata vizuri. Umesema kwamba utashughulikia swala la wakili ama lipelekwe kwenye kamati mbadala? view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Kuhusiana na alivyosema Sen. Cherargei, hatuwezi kuwa na maombi hapa kama tayari yako kortini. Tuelezee ili tuweze kuelewa vizuri. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Asante sana kwa sababu umejieleza kwa ufasaha. Sio lazima uwe na uweledi wa lugha ndiposa uweze kujieleza. Ni vizuri kujua kuwa Petition kwa Kiswahili inaitwa ardhilhali. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Kama Spika wa Muda, natoa uamuzi kuwa hizo ardhilhali tatu zielekezwe kwa Kamati ya Leba na Maswali ya Kijamii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Sen. (Dr.) Milgo, unataka kuzungumzia jambo hili ama ni mjadala unaofuata? view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Basi mpe kwa sababu ni mzee. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Asante sana kwa kusisitiza mambo ya ufisadi na rushwa ambayo yamekuwa janga kubwa katika nchi hii yetu. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Wakati huu ninampa fursa Sen. Farhiya. Kwa upande wa walio Wengi ni wachache saa hii na walio Wachache ni wengi. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Ninasisitiza kuwa sio lazima uzungumze kwa ufasaha kama Sen. (Dr.) Mwaura ama Seneta Mhe. Faki. Zungumza unavyoweza kwa sababu tunakuza lugha. view
  • 24 Nov 2020 in Senate: Kongole kwa sababu umezungumza kwa Kiswahili cha ufasaha. Hiyo ni idhibati kuwa Sen. Orengo ambaye ni Kiongozi wa Wachache alihudhuria mihadhara yote ya kisheria katika Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Changamoto tuliyonayo ni kwamba nguzo ya upinzani imewiana na kushikamana na nguzo ya Serikali. Sasa hivi, huwezi kujua nani yuko katika Serikali na nani yuko kwenye upinzani. Hapa tuna Kiongozi wa Wengi. Ni jukumu la Serikali kuhakikisha kwamba imeridhisha maswala yote yanayoibuka kuhusu utendakazi wake ili wananchi wasionekane kuwa wametelekezwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus