All parliamentary appearances
Entries 241 to 250 of 1711.
-
24 Nov 2020 in Senate:
Kwa muhtasari, hongera Sen. Orengo kwa mdahalo mzuri na kuchangia kwa mapana na marefu. Ningependa sana kuona Maseneta wengi wakizungumza kwa Kiswahili. Siko hapa kama mkufunzi wa kusahihisha lugha. Zungumza vile upendavyo. Kabla nimwachie Sen. Pareno kuendelea, nitampa fursa Sen. (Dr.) Milgo.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Kang’ata, ni Bw. Spika, tafadhali.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Kiranja wa Walio Wengi katika Seneti, Sen. Sakaja angependa kukuarifu.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Halake pia ana Hoja ya Nidhamu.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Kang’ata, unaweza kujibu swala la vyama vya kisiasa. Sen. Halake ametujulisha kwamba kuna vyama 87 vya kiasa nchini.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Kang’ata, nitakuongeza dakika moja tu.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Kang’ata, wakati wako umeisha. Sen. Mwaruma ana Hoja ya Nidhamu.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
Sen. Mwaruma kwa sababu mjadala huu utaendelea wiki ijayo, wacha tu tuendelee na dakika kumi. Sasa hivi, ninampa Sen. Wambua wakati wa kuzungumza.
view
-
17 Nov 2020 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view