All parliamentary appearances
Entries 681 to 690 of 1711.
-
1 Aug 2019 in Senate:
I support.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii kuchangia taarifa ambayo imeletwa na Sen. Faki. Ni muhimu kuhakikisha kwamba katika mwito wa ugatuzi tunagatua taasisi za kitaifa ambazo zinajiuzisha hususan na maswala ya kilimo. Ni jambo la kushangaza kwamba Nairobi hakuna samaki wengi. Iweje makao makuu ya hii taasisi yawe Nairobi? Tuendelee kugatua shughuli nyingi ili kuwe na uwakilishaji wa Serikali Kuu katika Kaunti ya Nairobi lakini tuanze kujenga miji mingine ili iweze kustawisha biashara na Wakenya waweze kwenda kule kwa sababu hapa Nairobi tunamsongamano mkubwa ambao unazuia uendeshaji wa shughuli za kiuchumi. The electronic version of the Senate ...
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Bw. Naibu Spika, naunga mkono.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, ---.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
No, I am not ready.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I was ready for the Motion.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I have a valid reason. It is because my co-sponsor of the Bill is not in the House.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is because he is engaged in other businesses that are---
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, the business is important; it is just that it would be unfair to him if I prosecute the Bill in his absence.
view
-
23 Jul 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is by design.
view