John Olago Aluoch

Parties & Coalitions

Born

20th May 1956

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

olago@africaonline.co.ke

Email

kisumutownwest@parliament.go.ke

Telephone

0722758518

John Olago Aluoch

John Olago Aluoch was elected MP for the Kisumu Town West constituency in 2007

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 2169.

  • 3 Dec 2020 in National Assembly: I want to congratulate my colleagues in the House who have been able to rise above and see the silver lining on the cloud of the suffering they have gone through. I congratulate Hon. Tim Wanyonyi, Hon. Dennitah Ghati and the others for being who they are and encouraging other Kenyans to be people that deserve respect. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Alhamisi wiki jana, niliamua kuongea kwa lugha yetu ya Kiswahili. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Bw. Spika, Alhamisi wiki jana, niliamua kuonyesha uzoefu wangu wa lugha yetu ya taifa; Kiswahili. Lakini kuna Wabunge kama Mhe. Millie Odhiambo waliolalamika kuwa nilikuwa ninawatesa kwa kuongea kwa lugha ya Kiswahili. Kwa sababu hiyo, nimeamua kuwa leo nitaonyesha uzoefu wangu kwa lugha ya Kiingereza. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Bw. Spika ukiamua, naweza kuendelea kwa Kiswahili. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Asante, Bw. Spika. Kama kuna sababu ya kuonyesha Wabunge wote kukubali BBI ni kwamba jibu lililopata Swali halionyeshi kwamba Waziri ameamua kulizingatia kikamilifu. Hili ndilo Swali ambalo kwa kimombo tungesema ni view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Bw. Spika, sehemu ya kwanza ya Swali iliuliza, inakuaje pesa kutoka kwa Wizara ya Elimu inafika kwa shule nusu-nusu? Jibu la Swali hili ni kwamba Wizara bado inafanya mipango kuona ni vipi itapata pesa za kutosha. Jibu hili halionyeshi ni sababu gani pesa hazipeanwi inavyotakikana. Ikiwa tuko na bajeti na pesa zimeenda kwa Wizara, inakuaje pesa hazifiki kimamilifu? view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Pili, inakuwaje jibu la pili linatamka maswala ya viti ilhali sikuuliza Swali hilo? Swali langu lilikuwa, inakuaje pesa zinazofika shuleni hazitoshi kushughulikia swala la COVID-19? Jibu hili linaonesha kuwa Bw. Waziri hakuwa na jibu hakika. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Tatu, niliuliza inakuaje pesa ambazo zilitolewa kwa shule za msingi ni tofauti na zile ambazo zinaenda kwenye shule za upili? Jibu lake la tatu halijagusia Swali langu hata kidogo. Majibu ambayo nimeyapata hayatoshi kabisa. Ningependa kuuliza na kuomba kuwa Waziri wa Elimu, Bw. Magoha, aweze kupeana majibu ya kisawasawa kwa Wabunge. Haya hayatoshi kabisa. view
  • 26 Nov 2020 in National Assembly: (Kisumu Magharibi, FORD-K); Mhe. Spika, tulipozindua hivi majuzi Kanuni zetu za Kudumu za Bunge la Kitaifa, kumekuwa na tetezi ya kwamba Wabunge wengi kutoka eneo la Nyanza sio wabobea wa lugha ya Kiswahili. Kuthibitisha ya kwamba huo si ukweli kabisa, ningependa kuuliza Swali langu kwa lugha yetu ya kitaifa ya Kiswahili, tafadhali. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus