12 Oct 2021 in Senate:
I will also defer Order Nos.14, 15, 16, 17 and 18.
view
12 Oct 2021 in Senate:
We move to Order No. 19. Sen. (Dr.) Milgo, proceed.
view
12 Oct 2021 in Senate:
Order, hon. Members! Sen. (Dr.) Milgo will have a balance of 32 minutes when this Order comes up again.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Asante, Bi, Naibu Spika. Langu ni kuwa ulimwambia Sen. (Dkt.) Langat kuwa maneno hayo si mazuri na ayaondoe ndio yaondolewe katika rekodi zetu. Lakini, yeye alikuambia asante na akaendelea kuongea. Ni vizuri umkumbushe ayaondoe matamshi hayo.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Asante, Sen. Sakaja. Ninaona watu wengi sana wanataka kuchangia Mswada huu, ninapendekeza wale ambao nitawapa fursa wasichukue muda mrefu. Sasa ninamuita Sen. Madzayo ambaye leo ametunukiwa medali ya Chief of the Order of the Burning Spear (CBS). Karibu, mwenzangu.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Sen. Madzayo umerudia mara zaidi ya moja, Bi. Spika. Tafadhali.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Asante sana, Sen. (Dr.) Milgo. Wakati huu ni wa Sen. Halake.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Thank you, Sen. Halake. Sen. Nyamunga, you have the Floor.
view
5 Oct 2021 in Senate:
Je, Hoja yako ya nidhamu ni gani, Sen. M. Kajwang’?
view
5 Oct 2021 in Senate:
Sen. M. Kajwang’, I thought she was just preparing to speak on the matter. I did not see her manhandling it. Sen. Nyamunga, I thought Sen. Sakaja explained the way it is done.
view