14 May 2025 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, hiyo ni dhahiri shahiri kuwa Kamati hiyo imezembea katika kazi yake kwa sababu hawajalivalia njuga jambo hili ambalo ni muhimu kwa sababu sasa ni zaidi ya siku 45. Wanasema kuwa hawajakuwa na kikao
view
14 May 2025 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate
view
14 May 2025 in Senate:
kushughulika jambo hilo ilhali katika Kaunti ya Nyamira, pesa zinaendelea kutumika kwa njia isiyofaa kwa sababu wanaendesha vikao viwili. Kamati hiyo inayoongozwa na Sen. Wakili Sigei haioni kama hilo ni jambo ambalo linafaa kushughulikiwa kwa dharura. Wanapaswa kuleta ripoti kama ilivyofanya Kamati ya Ugatuzi na Mahusiano ya Kiserikali. Kamati ya Haki, Masuala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu haijafanya chochote ilhali wao ndio wanapaswa kushughulikia jambo hilo. Kwa kumalizia, naona Gazette Notice ya tarehe 23/11/2024 ambayo inasema kwamba wamekubali kuwe na vikao Masaba North Sub-County Office, Nyamira Sub- County Office, Manga Sub-County Office, na Borabu Sub-County Office. Swali langu ni, ...
view
7 May 2025 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I am keen with the report of the Senate Committee on Energy. I have to say they have done a good job, so that Sen. Kisang’ does not rise on a point of order. However, the truth be told, that they concentrated so much on issues that are not affecting Kenyans. We have power blackouts every day in this report. I have not heard them talking about that, but rather, they are talking about having smart meters. I agree with what Sen. Wambua said that the committees are dealing with areas that deals can ...
view
7 May 2025 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
7 May 2025 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I have heard my colleague and good Senator, Sen, Ali Roba, say that the committee made an impromptu visit. I thought that according to our Standing Orders, you are supposed to give seven days’ notice to any place that you intend to visit as a committee? I do not think that was an impromptu visit unless the word ‘impromptu’ has a different meaning.
view
6 May 2025 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Kwa uchungu mwingi ninataka kuungana na Maseneta wengine kuomboleza kifo cha Mbunge, Sir Charles Were wa Kasipul Kabondo. Ninamjua marehemu Mhe. On’gondo Were kwa sababu kila wakati nikienda katika ukumbi wa gym, nilikuwa ninampata pale. Yeye kila wakati alikuwa mtu wa kupenda mazoezi. Nilimjua kama mtu mcheshi sana.
view
6 May 2025 in Senate:
Ni uchungu mwingi kwa yule Mbunge kupigwa risasi. Maswali yaliyopitia akilini mwangu ni kuwa alikuwa na walinzi wake. Hakuna ripoti yoyote inayoonyesha kuwa walinzi wake walijaribu kuwafurusha waliomuuwa. Kazi ya hao walinzi ni ipi?
view
6 May 2025 in Senate:
Bw. Spika kinachoniudhi zaidi ni yakwamba Mhe. Were alikuwa amesema maisha yake yalikuwa hatarini. Mkuu wa polisi wa Jamhuri ya Kenya alifanya nini kuzuia yaliyotendeka? Haya ni maswali yasiyopatata jawabu.
view