John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 1910.

  • 2 Aug 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, in our Standing Orders, every person is supposed to address you. I do not why Sen. Gataya Mo Fire is addressing the Cabinet Secretary instead of addressing you. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Nchi yetu tuna baraka. Wakati mwingi tunapata mvua, hata mvua ya mafuriko. Unapata maji yote ya mvua yanatiririka na kuingia kwa bahari zetu. Hata wakati wa msimu wa mvua, unasikia sehemu nyingi Wakenya wakiomba Serikali iwasaidie kwa sababu mifugo na vitu vingine vimebebwa na maji. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: Lakini baada ya mwezi mmoja, unapata kiangazi kisha watu wanakosa maji ilhali maji yote yalitiririka na kuingia katika maziwa na bahari. Sijui Waziri ana mipango gani ya kuhifadhi haya maji yote yasiwe yanateremka kwa bahari. Jambo la pili ni kwamba mabwawa yetu yamejaa mchanga. Ni hatua zipi ambazo wako nazo, kwanza kuhifadhi maji na, pili, kutoa mchanga kutoka kwa mabwawa yetu? Asante Bw. Naibu Spika. view
  • 2 Aug 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 26 Jul 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. I have listened to the Senator for Uasin Gishu. He said he disagrees with the Senate Majority Leader, Sen. Cheruiyot, who said that governors were treated like small gods. He has gone ahead to confirm that they were ‘gods.’ I do not understand why he disagreed with the Senate Majority Leader. He should have said he is confirming what the Senate Majority Leader said. view
  • 20 Jul 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuunga mkono dua iliyoletwa na wafanyikazi wanaosimamia ugavi katika vituo vyetu vya afya. Ni ukweli Katiba yetu inasema dhahiri shahiri hakuna mtu anapaswa kubaguliwa. Wamesema vizuri katika ombi lao kwamba wanabaguliwa, ilhali wanahusika kwa mambo manufaa katika hospitali zetu. Wao ndio wanapokea na kuhifadhi. Vilevile, utapata wanasaidia katika ile hali ya kupeana dawa. Lakini, ikifika ni mambo ya kulipwa marupurupu yao, hawaangaliwi. Wanawekwa kando. Wanafanya kazi za dharura. Wakati mwingine, wanakuja kazini hata mwisho wa wiki wakati wafanyikazi wengine hawako. Kwa hivyo, wanafanya kazi ya muhimu. Lakini, ikiwa wao watabaguliwa katika gatuzi ... view
  • 20 Jul 2023 in Senate: Bw. Spika, naunga mkono Taarifa iliyoletwa na Sen. Nyamu. Katiba yetu inasema kuwa vijana, akina mama na watu wanaoishi na ulemavu wanafaa kupewa fursa ya kufanya biashara na serikali zetu. Kuna baadhi za kaunti zinazowapa makundi niliyotaja fursa ya kufanya biashara. La muhimu sio tu kupewa fursa ya kufanya biashara. Hata wanapopewa fursa ya kufanya biashara, utapata kuwa hawalipwi. Wanafaa kusaidiwa baada ya kuchukua mikopo kwenye benki. Hiyo haifanyiki tu katika kaunti zetu bali pia katika Serikali ya kitaifa. Kamati itakayoshughulikia Taarifa hii inafaa kuangazia zaidi mambo hayo. Vijana, watu wanaoishi na ulemavu na akina mama wanafaa kulipwa baada ya ... view
  • 18 Jul 2023 in Senate: Bw. Spika, ninashukuru kwa kunipa fursa hii kuchangia kwenye Kauli iliyoletwa na Sen. Munyi Mundigi. Ni jambo la kuvunja moyo kuona mbolea inayopeanwa na Serikali inapelekwa mijini badala ya mashinani kwa wakulima. Ninaunga mkono mbolea ipelekwe mashinani kwa wakulima. Katika Kaunti ya Laikipia, mbolea inapelekwa Nanyuki na Nyahururu, ilhali wakulima wanaohitaji hiyo mbolea wako mashinani. Inafaa ipelekwe Rumuruti, Ol Moran, Sipili, Matanya na Weumeririe mahali penye wakulima wanaohitaji mbolea wako. Ninashukuru na ninaunga mkono taarifa ya Sen. Munyi Mundigi. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 18 Jul 2023 in Senate: On a point of information, Madam Temporary Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus