6 Apr 2022 in Senate:
The Senate rose at 6.30pm
view
6 Apr 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Asante, Bi Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii nitume risala zangu za rambirambi kwa ndugu zetu kwa kumpoteza Spika. Sisi kama Jumuia ya Afrika Mashariki, ni jambo ambalo limetupiga na kutuacha na mshangao. Huyu ni mtu ambaye tulimjua kama aliyejitolea mhanga na kufanya kazi yake huku akizingatia sheria. Siku ya leo, ninaleta risala zangu mwenyewe, familia yangu na za watu wote wa Kaunti ya Laikipia. Tungependa kuwaambia ndugu zetu wamtegemee Mwenyezi Mungu kwa sababu hakuna jambo ambalo linatendeka bila Mwenyezi Mungu kujua, ikiwa ameketi katika Kiti chake cha Enzi. Mimi mwenyewe sikuwa nimekutana naye, lakini ninajua Bi Naibu Spika na ...
view
24 Mar 2022 in Senate:
Sen. Cheruiyot, uwanja ni wako.
view