14 May 2025 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker, when I was presenting, I mentioned the issue of Taita Taveta and using Standing Orders, but not limited to Standing Order No.1, I would request if you could direct that the Committee of Devolution and Intergovernmental Relations follows up on the issue of the County Assembly of Taita Taveta. This is because the acting Speaker has been acting for a while. We need to know whether how they are working is legal and we get a report to that effect. You may order so that they take over the issue.
view
17 Apr 2025 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for the opportunity to request for a statement on the deaths of arrested persons and inmates under state custody across the country. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a statement from the Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations on a matter of national concern regarding the deaths of arrested persons and inmates under state custody across the country. My attention has been drawn to a particularly disturbing incident involving the unexplained death of Mr. Sylvester Mwangoji, popularly known as Mwangoji Wameliza, while in custody at Weruga Police Post in ...
view
17 Apr 2025 in Senate:
In the statement, the committee should address the following- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
9 Apr 2025 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. Let me join you in welcoming the delegation from Taita-Taveta County. These are members and staff of the Speaker's Panel of the great County Assembly of Taita-Taveta. They are on a learning tour in the Senate. I know they have taken this opportunity to learn as much as they can through discussions, observing and so on. Learning is a continuous lifelong process. They have come to better their expertise in running the great County Assembly of Taita-Taveta. Assemblies, just like the Senate, are for debate. I know after they leave this Senate, they will ...
view
9 Apr 2025 in Senate:
. When you go back, greet the great people of Taita-Taveta. I thank you.
view
3 Apr 2025 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order (53(1) to seek a Statement from Standing Committee on National Security, Defence and Foreign Relations concerning the scheme of service for national Government administrative officers, specifically chiefs and assistant chiefs. In the Statement, the Committee should address the following- (1) The scheme of service currently guiding the recruitment, promotion and career progression of chiefs and assistant chiefs including when it was last reviewed and updated. (2) The criteria used for hiring and promoting chiefs and assistant chiefs including the entry level, job group, highest attainable job group within the ...
view
27 Mar 2025 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa hii fursa umenipa ili kuunga mkono Hoja ya kuidhinisha Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Uhasibu wa Fedha za Umma katika Kaunti. Majukumu ya Seneti imenukuliwa katika Ibara ya 96 ya Katiba ya Kenya. Ibara hii inasema kuwa kazi yetu ni kulinda magatuzi. Katika hekima ya waliotunga Katiba yetu mwaka wa 2010 kuna viwango viwili vya serikali, Serikali za Kaunti na Serikali Kuu. Seneti ikapewa jukumu la kupitisha sheria ya ugavi wa pesa kwa magatuzi. Sheria hii ya ugavi wa pesa kati ya Serikali Kuu na kaunti inaitwa Division of Revenue Act. Pia tulipitisha sheria ...
view
27 Mar 2025 in Senate:
Mhasibu mkuu anajukumu ya kwenda kwenye kaunti na kuangalia kama pesa zimetumika vizuri. Ibara ya 229 ya Katiba, inaashiria kuwa mhasibu amalize uhasibu wake na kutoa ripoti kufikia Disemba 31 na kuleta ripoti hizi kwenye Bunge. Mhasibu ameleta ripoti zake katika Bunge la Seneti na pia amezipeleka katika mabunge 47 ya gatuzi nchini. Ibara ya 179(4) inakubalia Seneti iitishe ripoti kutoka kwa magavana ambao ni wakurugenzi wakuu ama CEOs kuja katika Kamati na kujibu maswali. Kamati ya Seneti ambayo mimi ni naibu mwenyekiti iliandikia gatuzi zote 47 ambazo ni watendakazi na bunge zao na wakaleta majibu yao. Katika Ibara ya ...
view
27 Mar 2025 in Senate:
Katika ajira, kaunti nyingi zimeajiri kupita viwango zaidi kinyume na sheria na kanuni zilizowekwa za asilimia 35 ya fedha za kaunti zitumike kulipa wafanyikazi. Mwenyeti amesema ya kwamba kuna kaunti nyingi ambazo zimeajiri wafanyikazi wanaotumia fedha zaidi ya asilimia 35. Wakati tunatumia fedha zaidi ya asilimia 35 kwa mfano katika Kaunti ya Taita Taveta iliyoko katika 54, pesa hubakia kidogo ya kufanya maendeleo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
27 Mar 2025 in Senate:
Tunahimiza na kusukuma kaunti kuhakikisha ya kwamba zinafuata kanuni ili fedha zinazotumika kulipa wafanyikazi iwe ni asilimia 35 ama chini yake. Kaunti nyingi zinalipa mishahara za wafanyikazi kupitia nje ya mfumo wa Integrated Personnel and Payroll Database (IPPD) ambao unatumika kulipa wafanyikazi wote wa Serikali. Gatuzi zinapolipa bila kutumia mfumo huu, pesa nyingi sana zinaweza kupotea. Katika kamati yetu, tunafuatilia kwa ukaribu sana ili kuhakikisha kaunti zote zinalipa kupitia kwa IPPD.
view