Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 681 to 690 of 984.

  • 23 Sep 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 23 Sep 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. I am concerned that I was the only one who was given one minute to speak. Sen. (Dr.) Ali has spoken for over three minutes. That is unfair. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 16 Sep 2020 in Senate: Asante Bi. Naibu Spika. Hii Taarifa ambayo imeletwa na Sen. Khaniri ni muhimu sana kwa sababu kuna shida za mipaka kwa magatuzi mengi katika Jamhuri ya Kenya. Kuna Taarifa ambayo nilileta miezi tatu iliyopita kwa Kamati ya National view
  • 16 Sep 2020 in Senate: na Kamati ya Justice, Legal Affairs and HumanRights kuhusu mambo ya mipaka kule Taita-Taveta. Mpaka sasa sijapata majibu. Taarifa hiyo ilikua inauliza kuhusu mpaka wa Taita-Taveta na Makueni kwa sababu ya ule mtafaruku ulioanza kati ya Serikali ya Kaunti ya Makueni na Taita-Taveta. Nilisema kuwa katika District and Boundaries Act ya 1992, wakati wa kuelezea mipaka ya Wilaya ya Makueni ilisema kwamba Mtito Andei iko Makueni na ikasema tena kuwa iko Taita-Taveta. view
  • 16 Sep 2020 in Senate: Bi. Naibu Spika, tunataka Kamati ya National Security, Defence view
  • 16 Sep 2020 in Senate: waite maafisa wa usalama wa ndani waje waseme makamanda wa kaunti au makamishna wa kaunti wanaanzia wapi na kumalizia wapi. The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) iko na kituo cha kupiga kura Mtito Andei. Je, Mtito Andei iko Makueni ilhali kuna kituo cha kupiga kura katika Kaunti ya Taita-Taveta? Je wataleta majibu ya ile Taarifa lini? view
  • 21 Jul 2020 in Senate: Ninashukuru, Bw. Spika, kwa nafasi uliyonipa kuchangia Ombi liloletwa na Sen. Mwangi. Ni kweli kuwa ni jukumu la Serikali kumpatia kila mtu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 21 Jul 2020 in Senate: shamba. Ni haki ya wananchi kuishi katika hali ya kuheshimika. Kuna IDPs wengi mahali pengi, wanaishi katika hali ya uchochole, na hawana mashamba. Ninajua hili Ombi litaenda kwa Kamati yangu ya Mashamba, Mazingira, na Rasilmali Asili, na tutalivalia njuga swala hili ili tuangalie wananchi ambao hawana mashamba katika sehemu tofauti za Kenya, na tusukume Serikali kuwapa mashamba. Wakati mwingine Kamati ya Mashamba, Mazingira na Rasilmali Asili tulienda hadi kuangalia wananchi waliofukuzwa kutoka Msitu wa Marmanet, walitupwa barabarani na wanaishi katika hali mbaya sana. Hali tuliyoona pale ilikuwa ya kuhuzunisha ajabu. Ajabu ni kwamba, mpaka sasa, wale watu bado wanaishi katika ... view
  • 21 Jul 2020 in Senate: Ni jukumu la Serikali kufunga buti na Wizara ya Mazingira na Misitu, na National Land Commission (NLC) kuwapatia wananchi hao mashamba yao. Nikimalizia, ningependa kuongelea umuhimu wa kuangalia mambo ya Maombi. Kule Taita Taveta, kuna wananchi waoishi sehemu ya Mwakitau ambao walileta Ombi kwa Bunge hili. Serikali ya Kenya itoa title deed kwa ranch na wananchi zaidi ya 10,000 saa hizi wanafukuzwa kutoka kwa hiyo ranch kwa sababu title deed ilipewa ranch mwaka wa 1985, na hao wananchi walianza kuishi hapo mwaka wa 1919, wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia. Walipagana huko na wakafanya makaazi hapo. Hii Petition bado ... view
  • 21 Jul 2020 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. I rise under Standing Order No. 48 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources regarding the status of Voi Point Limited formally known as Voi Sisal Estate which is on LR NO. 28683 Voi Town in Taita Taveta County. In the Statement, the Committee should- (i)Clarify whether the land is agricultural or commercial and state how much has been charged on the title deed; (ii)Explain whether there has been a request for change of user by Voi Point Limited in accordance with the Physical Planning Act and ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus