Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 291 to 300 of 1060.

  • 30 Oct 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninasimama kuunga mkono Mswada huu ambao umeletwa na rafiki yangu, Sen. Njoroge. Ninamshukuru Sen. Njoroge kwa fikra zake. Hii inaonyesha kwamba uteuzi aliopewa na chama kilichomteua kuja hapa,umeanza kuzaa matunda. Jambo linalozungumziwa hapa ni jambo muhimu sana. Linaanzia kwa kutambuliwa kama “walemavu”. Kwa wale ambao wanataka kutumia lugha ya madharau, wanawaita “wasiojiweza”. Halafu wale wenye matusi ya juu wanawaita “viwete”. Watu hawa ni viumbe vya Mungu na hatujui tutamuita mtu nini ambaye ana ugonjwa wa roho au mtu ambaye ana vidonda vya tumbo. Lakini sisi sote kama binadamu, kuna sehemu fulani katika miili yetu ambayo inatubidi ... view

  • 30 Oct 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, hiyo pesa inatoka kwa mfuko wangu mwenyewe ilhali magavana hawajali. Kwa mfano, Gavana wa Kaunti ya Machakos juzi alifunga safari ya kwenda Kaunti ya Kitui ikiwa amebeba choo chake kwenye gari. view

  • 30 Oct 2014 in Senate: Anawabeba wapishi wake akienda Kitui. Pia anabeba kiti chake kwa sababu viti vingine vina chawa na hataki kubeba chawa. Anabeba mkeka mwekundu kama huu ili utandikwe akanyage. Haya yote yanafanyika katika kaunti ambayo watu hawajui wanaenda wapi. Ukiangalia miguu ya mtu huyu huwezi kusema kama anakula chakula. Fikiria juzi tuliona katika runinga mtu mmoja ambaye anaandika kutumia mguu wake, vidole vya miguu yake vinashika kalamu anapoandika. Huyo mtu anajifanyia kazi na hiyo miguu yake kuandakia lakini nchi ina Gavana, anatembea na magari 20. Nchi ambayo ina waziri ambao kila mmoja wao anapewa magari matano, walinzi 20 na nyumba zinalindwa. Mtu ... view

  • 30 Oct 2014 in Senate: Mheshimiwa Spika wa Muda, nimetaja Seneta Njoroge, Seneta Hassan na Seneta Mutula Kilonzo Jnr. Nimesema kila mara nikitamka “Mheshimiwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate:- A Report of the House Leadership delegation study visit to Germany view
  • 22 Oct 2014 in Senate: On a point of information, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 22 Oct 2014 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, the information I want to give to Sen. Ongoro is that in that Tenth Parliament, I was the Government Chief Whip. I led the PNU coalition members together with other Members from the ODM, to reject the process of the tribunal being set up here rather than going to The Hague. I participated and led a good number of Senators, including Sen. Beth Mugo, to reject the local tribunal. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus