Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 1060.

  • 17 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika, nilikuwa nikisema wananchi ambao waliathirika na wengine kuumia ni watu wetu na wanatusikiza sasa hivi. Wanataka kujua hasa, ni nini tunachosema kuhusu usalama wao. Ningependa kutuma ujumbe wa haki na ukweli. Jambo hili sio la chama fulani, kabila fulani ama kundi fulani. Vijana wetu wa kitengo cha ulinzi walikufa huko Baragoi. Hadi leo, hatujajua ni nini kilitendeka. Hapa Westgate, watu wetu walikufa, kule Mandera, watu wengi wamekufa. Nashangaa kwamba Seneta wa sehemu hiyo amesimama kukana kwamba AlShabaab hawahusiki. Tunajua vizuri kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kutoka Mkoa wa Central, Eastern ama Coast na kusafiri hadi Mandera ili kuua ... view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika, Katiba yetu inazungumza juu ya mambo mawili katika utumishi wa Serikali na Sen. Murungi kama wakili alipitisha hiyo Katiba na akaona inafaa, kwamba jinsia izingatiwe na vile vile makabila yote yawakilishwe katika utumishi wa umma ili hata Rendile awakilishwe katika utumishi wa Serikali. Hata Katibu wa Ulinzi anajulikana ni nani, mkuu wa Utumishi wa Umma anajulikana ni nani, ukiangalia ile kamati ya ulinzi--- view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika, nimeongea juu ya Warendile kwa sababu wao ni wachache. Si kusema hivyo kwa sababu ni watu nusu, lakini inafaa waonekane kama kabila katika nchi ya Kenya. Kwa hivyo ninafakiri Sen. Haji ananiunga mkono. Kama hili ndilo kundi litakalokaa chini ili kuzungumzia usalama--- view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika. Tunataka kuona polisi wetu na kitengo cha upelelezi kikifanya kazi. Tunaweza kusema kwamba hiyo ndio sababu hawataki kufanya kazi yao kwa sababu hawajawakilishwa katika uongozi wa juu na maslahi yao hayaangaliwi sawa sawa. Kwa hivyo, tuliposema kwa Katiba kwamba tuwe na uwakilishi wa jinsia na makabila, haikumaanisha kwamba tuna ubaguzi wa ukabila. Tulisema kwamba kila sura iwakilishwe katika utumishi wa juu wa Serikali ndio wananchi waweze kufurahia nchi yao na kufanya kazi. Kwa hivyo, ninamwomba Rais aweke sura ya Kenya katika utumishi wa Serikali ili Wakenya wote wawakilishwe na ili taifa liwe na amani. Ninashukuru. view
  • 17 Jun 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 17 Jun 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. This is very important. It must be noted that Al Shabaab has claimed responsibility for the action that took place. view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, is the Senator who has just spoken in order to say that this is political when actually Al Shabaab has claimed responsibility? view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, is the Majority Whip in order to say that those who were killed at Mpeketoni were Kikuyus? We are talking about Kenyans. We are talking about the loss of lives. Is she in order to refer to those who were killed there as Kikuyus when we are talking about Kenyans? view
  • 17 Jun 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Is the Majority Whip in order to say that the rallies at the coast caused the killings at Mpeketoni? Is she in order--- view
  • 17 Jun 2014 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, she said that the rallies are the cause of the killings in Mpeketoni. Let us put the record straight. There has not been a single rally where someone has been injured. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus