18 Feb 2009 in National Assembly:
We make our people see things in a different way; that they are marginalised and discriminated against, yet we are talking about building one country, one people. What I would say about this Motion is that we need jobs. What the country needs are jobs for Kenyans in order to allow our young men, girls and old people of this country to earn income. We have what it takes to create jobs for this country if the resources can be protected. As we talk now, North Rift farmers are still keeping their maize in their stores. That is creating unemployment ...
view
18 Feb 2009 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, when we talk about corruption, when you take into consideration all the funds that have been stolen, every Minister stands here to defend criminals who have created problems in this country; who have stolen a lot of money that could have been used to create jobs. We want all the funds that have been stolen since Independence returned. If that money is brought back to the Government and we create public institutions, we would have many jobs in this country.
view
18 Feb 2009 in National Assembly:
As leaders, we should focus on issues that can take this country forward. Let us not deal with issues that do not exist. Even if we talk about equal distribution of jobs and go to every region and get a specific number of people yet there are no jobs, we will be dealing with issues that would never materialise. We should work towards creating jobs first and make sure that there is no stealing of public funds. There should be no corruption taking place so that those funds can be mobilised and taken to the rural areas to create jobs ...
view
18 Feb 2009 in National Assembly:
Madam Temporary Deputy Speaker, on the issue of qualifications, a driver truly does not need to be a Form Four leaver. We know that in the First and Second World Wars, our people were employed as drivers by the Government at that time and yet, they had no formal education. They Fe bruary 18, 2009 PARLIAMENTAR Y DEBATES
view
17 Feb 2009 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. It is my conviction that the Chairman of this Departmental Committee represents the whole Republic of Kenya in matters that concern farmers. Is he in order to keep on touching on one constituency in a way that is underrating it?
view
9 Feb 2009 in National Assembly:
Nashukuru Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Mswada huu. Mswada huu ni wa maana sana katika nchi yetu. Nimewasikia wenzangu wakizungumza kuhusu yaliyomo katika Mswada huu. Jambo la kushangaza ni kuwa wengine wanaamini kwmaba sisi Wakenya hatuwezi kujiamuria mambo haya. Ni lazima tutafute mtu kutoka nje ili asimamie maswala haya ya kisheria. Hii ni ndoto mbaya sana. Nchi hii imetumikiwa na majaji wakuu kwa miaka mingi. Wengi wao wakiwa ni Wazungu, Wahindi na pia ndugu zetu Wakenya. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba tumelalamika miaka nenda, miaka rudi kuhusu usimamizi mbaya wa mahakama zetu. ...
view
9 Feb 2009 in National Assembly:
Mswada huu unampa Rais mamlaka ya kuwateua watu wa kusimamia maswala yetu ya mahakama. Wenzangu waheshimiwa Wabunge watakubaliana nami shida si kwa sababu walioteuliwa walitoka jamii ya Wakikuyu au Wakamba. Shida ni kuwa hakuna mtu mmoja aliyeteuliwa kutoka kwa jamii fulani. Hiyo ndiyo shida kubwa ya uteuzi huu. Shida yetu ni kuzingatia ukabila katika uteuzi tunaoufanya katika nchi hii. Kuna baadhi ya watu wanaongozwa na hisia za kikabila katika maisha yao. Ningependa kuona Wakenya wakifanya kazi bila kuulizwa kwa nini katika idara fulani tuna Wakikuyu, Wakamba, Wajaluo, Waluhya au Waarabu wengi kuliko watu wa kutoka jamii fulani na kadhalika. Mambo ...
view
9 Feb 2009 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika wa Muda, ningependa kumwambia Waziri--- Kwa kusema hivyo, nimepitia kwa Naibu Spika wa Muda. Nitarudia. Ningependa kumwambia Waziri kwamba mambo aliyoyaweka katika Mswada huu hayazingatii heshima ya Muafrika. Hatutaenda mbali. Nasema hivyo kwa nini? Mawakili wetu ni Waafrika. Kwa nini tuwe na mtu ambaye atazungumza na kukaa katika bodi hiyo ambaye atatolewa Somalia ama Zambia? Katika mataifa yote ya ulimwengu, Kenya iko katika orodha ya ramani ya dunia. Kenya inajulikana katika ramani ya dunia kwa sababu moja. Wafanyikazi nambari moja wako katika nchi hii. Wasomi wazuri katika bara letu la Afrika wako katika nchi hii. Hatuwezi kulinganishwa ...
view
5 Feb 2009 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, asante na nitachukua muda mfupi sana, usiozidi dakika mbili. Nasimama kuupinga Mswada huu kwa ushahidi nilio nao mikononi mwangu.
view
5 Feb 2009 in National Assembly:
Katika mwaka 1992, baada ya uchaguzi mkuu, Wakenya waliuawa. Baadaye kuliundwa kamati ambayo ilikuwa chini ya uwenyekiti wa Bw. Kiliku. Mpaka leo hakuna ambaye anajua kilichoandikwa na kiko wapi. Mwaka 1997, vile vile Wakenya walipiga kura ili kuwachagua Wabunge na Rais. Mwishowe, baada ya Wakenya kuuawa, tume ya Jaji Akiwumi iliundwa. Hakuna chochote kilichofanyika. Ripoti ya tume hiyo iliwekwa na bado "inalala". Mwaka 2002, baada ya uchaguzi, Wakenya waliuawa. Hakuna mtu hata mmoja aliyepelekwa mahakamani. Juzi, katika 2007, kiwango cha mauaji kilizidi kutoka asilimia kumi hadi themanini, na hakuna mtu mpaka leo amepelekwa mahali popote. Ni dhahiri kwamba sisi kama ...
view