All parliamentary appearances
Entries 301 to 310 of 461.
-
2 Nov 2011 in National Assembly:
Bw. Spika, roho yangu inadukuduku sana kwa swala hili.
view
-
2 Nov 2011 in National Assembly:
Bw. Spika, nafikiri itawasaidia Waheshimiwa wengine.
view
-
7 Sep 2011 in National Assembly:
Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Mnamo 22/2/2011 niliuliza arifa kutoka kwa Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani kuhusu kuzorota kwa usalama katika Mji wa Eldoret na Mji wa Kitale. Tunajua mikahawa katika miji hii imekuwa ikivamiwa mara kwa mara na watu wengi kupoteza maisha yao kiholelaholela. Jambo la kuhuzunisha ni kuwa kufikia leo hakuna mshukiwa wowote ambaye amewahi kutiwa mbaroni na Waziri hajawahi kuleta arifa hapa Bungeni kutueleza vile mambo ya usalama yalivyo katika miji hiyo. Ninaomba Bunge hili kumzurutisha ailetee arifa hiyo kwa sababu kuzoroteka kwa usalama katika miji hiyo kumekita mizizi.
view
-
7 Sep 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I have always been available.
view
-
7 Sep 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, the Assistant Minister is misleading the House, but I will do as you have directed.
view
-
24 Aug 2011 in National Assembly:
Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Mnamo Februari 22, niliuliza Taarifa kutoka kwa Waziri wa Mikoa na Usalama wa Ndani kuhusiana na kuzorota kwa usalama katika sehemu ya kaskazini mwa Bonde la Ufa ambako uvamizi ulifanyika katika mikahawa tofauti tofauti katika Mji wa Eldoret na watu wakauawa na wengine kupatikana kiholelaholela kando ya barabara katika sehemu ya Kitale. Tangu wakati huo hadi sasa, Taarifa hiyo haijaletwa Bungeni. Kuzorota kwa usalama umekita mizizi kwa sasa na uvamizi unafanyika kila wakati. Ningeomba umshurutishe Waziri mhusika atupatie Taarifa hiyo ambayo inaweza kuleta afueni kwa watu wengi ambao wanahofia maisha yao kutokana na ...
view
-
9 Aug 2011 in National Assembly:
Asante Bw. Spika. Je, Waziri ana habari kwamba vikundi vingi vya vijana kule mashinani ambavyo vinapewa pesa hizi vinapewa takriban Kshs20,000 ama Kshs50,000, pesa ambazo haziwezi kufufua biashara yoyote au kuwasaidia vijana kwa namna yoyote?
view
-
9 Aug 2011 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I request a Ministerial Statement from the Minister for Industrialization regarding the sacking of the Kenya Bureau of Standards (KEBS) Managing Director, Mr. Joseph Kosgey. In the Ministerial Statement, I would like the Minister to address the following:- (a) the circumstances under which the KEBS Managing Director, Mr. Kosgey, was de-gazetted; (b) clarify whether the KEBS Board was consulted and if so, whether he could produce the Minutes of the board meeting that arrived at the decision to sack Mr. Kosgey; (c) outline to this House the performance report of Mr. Kosgey ...
view
-
21 Jul 2011 in National Assembly:
Asante Bw. Spika. Ningependa kupata ufafanuzi kutoka kwa Waziri. Waziri anajua kwamba ikiwa Serikali ya Kenya itaagiza mahindi ya muundo au mtindo huu wa kisayansi--- Je, ana habari kwamba itaingilia bei ya mahindi ambayo yanazalishwa hapa Kenya, na wakulima ambao wanajitokeza asubuhi mapema na kutoa jasho jembamba wakikuza mahindi ambayo wanategemea kuwapeleka watoto wao shule na kuwalisha? Kwa namna yoyote bei itashuka kwa sababu inasemekana kwamba bei ya mahindi ya kisayansi ni ya chini kuliko ya mahindi yanayozalishwa hapa Kenya! Vile vile ufafanuzi ninaotaka kutoka kwa Waziri ni kwamba utafiti ambao umefanywa unaonyesha kwamba mahindi haya yanaleta ugonjwa wa saratani, ...
view
-
20 Jul 2011 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, first of all, I wish to apologise for coming late.
view