Joshua Serem Kutuny

Parties & Coalitions

Born

1978

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

joshkutuny@yahoo.com

Email

cherangany@parliament.go.ke

Telephone

0720898128

Link

@Honjoshuakutuny on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 451 to 461 of 461.

  • 8 Oct 2008 in National Assembly: Bi. Naibu Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Kwanza, ningependa kumshukuru Bw. Mututho kwa kuleta Hoja hii, ambayo imekuwa donda ndugu sana katika Taifa la Kenya. Wakenya wengi walijitolea ima fa ima kwa miaka mingi, ili kuleta ukombozi na Uhuru katika Taifa la Kenya. Wengi wao walipoteza maisha yao na wengi wakapoteza makao katika harakati za kuleta ukombozi katika Taifa la Kenya. Wabeberu walikuwa 2556 PARLIAMENTARY DEBATES October 8, 2008 wamelimiliki Bara la Africa na Taifa la Kenya kwa ujumla. Lakini Wakenya ambao walikuwa na maono waliweza kujitolea kwa namna yoyote ile, ili kuweza kulikomboa Taifa hili. Lakini ... view
  • 7 Aug 2008 in National Assembly: Bwana Naibu Spika, nimesimama hapa kidete kuipinga Hoja hii kwa kinywa kipana. Ni bayana kwamba wengi ambao wako upande wa Serikali wanaopigia debe Hoja hii ili ipite. Lakini ukichunguza kindani, utagundua kwamba wanajaribu kukwepa Maswali ambayo yamekuwa sugu hapa Bungeni. Kwa siku chache, wengi wamekuwa wakihema hapa tunapowapatia changamoto hapa Bungeni. Lakini ninataka kuwaambia kwamba mbio za sakafuni huishia ukingoni; kwani, kimo chao ki motoni kwa sasa. Bwana Naibu Spika, sisi tumetumwa hapa tuulize maswali. Maswali mengi sana hayajatimia hapa Bungeni. Hatujapewa majibu ya kutosha. Mimi mwenyewe ninatarajia kujibiwa Maswali manne. Bwana Spika aliniambia kwamba kwa siku kumi yatafika Bungeni. ... view
  • 7 Aug 2008 in National Assembly: Bwana Naibu Spika, sisi tuna maswala hapa. Mheshimiwa fulani hapa ameeleza kwamba kumekuwa na kutoelewana kati ya Wabunge na Mawaziri kwa maswala ya madiwani. Hatutaenda kuulizia kule nyumbani maswala ya madiwani kwa sababu itakuwa ni poroja na propaganda . Tutaulizia hapa Bungeni kama tunataka majibu ya kutosha. Vile vile, sisi tumekuwepo hapa, juzi mwezi wa sita, baada ya kutoka likizo. Ukifanya hesabu utagundua kwamba tumekuwa Bungeni miezi miwili. Nafikiri ni kufedhehesha pakubwa sana na sisi wenyewe hatutakuwa tunafanya jukumu letu la kuwatimizia Wakenya malengo ambayo walituleta Bungeni. Tutakuwa tunafuja pesa za wananchi ikiwa kila wakati tutakuwa tunakaa nje ya Bunge ... view
  • 6 Aug 2008 in National Assembly: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 6 Aug 2008 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Ningependa Waziri afafanue pia kwamba jana katika eneo langu la Uakilishi Bungeni la Cherangany, zaidi ya ng'ombe 50 waliibwa. Je, ni hatua gani Serikali inachukua? Serikali itaingilia vipi msitu wa Pokot ili kuwapokonya 2380 PARLIAMENTARY DEBATE August 6, 2008 Wapokot bunduki? view
  • 30 Jul 2008 in National Assembly: Nashukuru sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii ya kurekebisha Sheria ya Chifu ili kubuni ofisi ya kiranja wa mtaa, ama wazee wa mtaa na kuweko kwa sheria kabambe ya kuidhinisha malipo yao. Wao huchangia pakubwa ufanisi wa mashinani. Kule kwetu, wao hutambulika kama wazee wa mtaa, na wamechangia pakubwa sana utatuzi wa matatizo yanayokithiri mashinani. Kukiwepo na kutoelewana baina ya jamii na pia kutofautina kwa familia, wao ndio huingilia kati kutatua shida hizo. Pia wanashirikiana bega kwa bega, mithili ya mchwa na nyuki, na wazee ambao wana taathiriba ya muda mrefu katika matatizo yanayokumba jamii. ... view
  • 14 May 2008 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I stand to oppose the Motion of Adjournment! view
  • 14 May 2008 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I do that basically because it is only one month ago that we went on recess. Since then, you will realize that we have not done anything. We have a responsibility, as Members of Parliament who have been sent here by people who we represent, to push for many things which they expect are going to better their lives. Mr. Deputy Speaker, Sir, right now, in this House, we have several Motions for which, sooner than later, we are expecting answers. One, as a Member of Parliament representing farmers, there was a Motion of writing off ... view
  • 14 May 2008 in National Assembly: Right now, we are on the final stages of identifying the projects that we are going to implement on the ground. When we were campaigning, we already had an agenda. In the last four to five months that we have been sitting here, we have already laid out the structure and the framework on what we are going to do. Mr. Deputy Speaker, Sir, an hon. Member has put it clearly that we should go and feast on our election to this House. We want to tell him that this is not the time to go and feast when there ... view
  • 14 May 2008 in National Assembly: We want to tell him that it is not the right time for us to go and feast when there are many May 14, 2008 PARLIAMENTARY DEBATES 1061 secondary schools which have not received funds for free secondary education across the country. We want to tell the hon. Members that it is important for us to be here so that we can push for these things and to make sure that Government services are improved. When we talk of a Grand Coalition of the Opposition, we want to say that those who are in the Government should support and protect ... view
  • 15 Apr 2008 in National Assembly: Thank you, Madam Temporary Deputy Speaker. I would like to support the Accountants Bill which has been moved by the Minister. It is a well-thought-out idea. Actually, this is an era of accountability and transparency. I believe that this is a good gesture that will go a long way to make sure that there is accountability in terms of spending in most institutions. It will go down in history that most financial institutions have been brought down by lack of accountability. At the same time, we need to instil some professionalism in that sector. In most cases, we have quacks ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus