Joshua Serem Kutuny

Parties & Coalitions

Born

1978

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

joshkutuny@yahoo.com

Email

cherangany@parliament.go.ke

Telephone

0720898128

Link

@Honjoshuakutuny on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 441 to 450 of 461.

  • 17 Feb 2009 in National Assembly: 5014 PARLIAMENTARY DEBATES February 17, 2009 view
  • 17 Feb 2009 in National Assembly: kwa wahusika wengine katika Serikali. view
  • 17 Feb 2009 in National Assembly: Kwa sasa, kila siku, tunazungumza juu ya ufisadi. Lakini hakuna hatua yeyote ambayo inachukuliwa na Serikali! Tungependa Serikali hii ya Muungano ambayo washika dau wote walikuwa wameweka ruwaza yao ya kwanza ni kupambana na ufisadi, wachukue hatua mara moja, uchunguzi ufanywe na wale wote waliopora mali ya umma waweze kufikishwa mahakamani! view
  • 17 Feb 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, katika Taifa la Kenya, vile vile, wale ambao wanateuliwa kusimamia halmashauri kama hiyo mara nyingi huchaguliwa kwa sababu huwa ni marafiki wa kufa kuzikana ama wako karibu na wanaoteua kama pua na mdomo. Lakini hali ya masomo na taaluma ya mtu haiwezi kufuatwa! Ndiposa unapata kwamba mtu anayetakikana kuwa daktari wa kuwatibu watu katika Hospitali kuu ya Kenyatta anachukuliwa na kwenda kuwa Mkurugenzi katika Halmashauri ya Pareto katika Taifa la Kenya! Nafikiri wakati umefika katika Taifa la Kenya kuwachuja view
  • 22 Jan 2009 in National Assembly: Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Jambo la Nidhamu kwa sasa ni kwamba Waziri anasema kwamba bei ya kutoka kule nje itaongezwa kutumia ushuru ama mkopo kutoka nje. Sijui kama Waziri ana habari kwamba wakulima kwa sasa wamesusia kuuzia Serikali mahindi mpaka bei ya nafaka iongezwe. Hii ni kwa sababu Serikali inatafuta mkopo zaidi ya bilioni Kshs7.6. Kwa hivyo, nataka kusema kwamba--- view
  • 11 Dec 2008 in National Assembly: Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Nimesikitishwa na matamshi ya Waziri Msaidizi. Amesema kwamba wizi wa ng'ombe utakuwa jambo la zamani. Kwa sasa, Serikali imetuma kikosi cha maafisa wa usalama kufanya operesheni katika kaskazi ya Bonde la Ufa. Hata hivyo, mpaka leo, hatujawaona maafisa wa usalama wakiwasaka majambazi. Tumeelezwa kuwa operesheni inaendelea, ilhali juzi tu, ng'ombe zaidi ya kumi waliibwa kutoka Cherang'any na kuchukuliwa mahali kwingine. Ningependa Waziri Msaidizi afafanue jambo hili. Tumeelezwa kuwa kule Trans Nzoia, maafisa wa usalama wamepelekwa Lodwar--- view
  • 26 Nov 2008 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Mimi kama mkulima mashuhuri nina masikitiko makubwa juu ya hali ilivyo katika nchi hii. Nimevuna zaidi ya magunia 1,000 ya mahindi. Sehemu yangu ya uwakilishi Bungeni ya Cherangany ina chakula kochokocho. Hata hivyo, malalamiko yetu ni kwamba Serikali haijaweka mikakati ya kuwezesha sisi wakulima kuuza mazao yetu kwa bei ya juu. Sisi huwatazama kwenye runinga watu wa Kibera wakilalamika kwamba bei ya chakula imeongezeka maradufu. Kwa upande mwingine, tunataka Serikali inunue mahindi yetu kwa bei ya Kshs2,200 kwa gunia. Serikali ikifanya hivyo, itakuwa heri kwa watu wetu ingawa wanaoishi mijini ... view
  • 26 Nov 2008 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, mbaazi akikosa kuzaa atasingizia jua! view
  • 26 Nov 2008 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Hata kama dawa ni chungu, lakini itakuponya ugonjwa ulionao. Ningependa sote tushirikiane. Sharti tufahamu kwamba janga la njaa katika taifa la Kenya ni tisho kubwa. Kuna wale ambao wanataka nafaka yao inunuliwe kwa bei nzuri na kuna wale wanaolalamika eti bei ya unga imepanda. Pande hizi zote mbili zinahitaji kukaa November 26, 2008 PARLIAMENTARY DEBATES 3645 pamoja na Serikali izungumze nao. Ukweli ni kwamba kulikuwepo na tatizo la ukosefu wa mvua mwaka huo. Pia, tulikuwa na vita vya kisiasa ambavyo vimechangia kupunguka kwa uzalishaji. Ni lazima tuyazungumzie mambo haya kama viongozi. Sisi tunaotoka katika ... view
  • 26 Nov 2008 in National Assembly: Jambo la Nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa Waziri afafanue kama ni mbolea ya kupanda mahindi, kwa sababu vile vile, kuna mbolea pia ya kunyunyiza kwenye mahindi. Ningependa pia afafanue bei, ili mkulima amakinike. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus