All parliamentary appearances
Entries 3021 to 3030 of 4692.
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, tutaleta Statement by next week Thursday.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I will be able to give a statement by Thursday next week.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ninaweza kuleta Alhamisi lakini mnajua ya kwamba mimi mwenyewe nilienda mpaka kule Watamu na tulitatua yale ambayo yalikuweko huko. Kwa hivyo, sioni haraka ilioko sana, ama zaidi ya kuleta hii taarifa.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, ndio kulikuwa na matatizo kule, lakini nilikuwa naomba nilete hii taarifa Alhamisi.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Ndiyo, Bw. Naibu Spika; nitafanya hivyo.
view
-
6 Apr 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, hayo yote nitayataja katika Taarifa nitakayowasilisha hapa Bungeni.
view
-
31 Mar 2010 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, this Question had been answered last week and we dispatched the answer to the Clerk of the National Assembly. I would not know why he did not make an answer available to the hon. Questioner. But I would also want to undertake that I can give him a copy of the answer right now if he so wishes. I do not mind if he wants the Question to be deferred because I have a very good answer.
view
-
30 Mar 2010 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, on Tuesday, 16th March, 2010, Mr.
view
-
30 Mar 2010 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I thought that he would seek more clarification but, from what I heard, he is satisfied.
view
-
30 Mar 2010 in National Assembly:
Thank you.
view