Justus Murunga Makokha

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 19.

  • 3 Mar 2020 in National Assembly: Put the Question! view
  • 3 Dec 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, my intervention is on an agricultural matter. The Chairman is not in, but I am a Member of the Committee. view
  • 3 Dec 2019 in National Assembly: Your advice, Hon. Speaker, was sufficient. view
  • 9 May 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker, for giving me this chance to ask the following Question to the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government: (i) Is the Cabinet Secretary aware of increased incidents of insecurity in Matungu Constituency of Kakamega County in the last few months where more than twelve (12) people have been killed including two students? (ii) What measures is the Ministry putting in place to end these killings and improve security in Matungu Constituency? (iii) Is the Cabinet Secretary further aware that Harambee police station in Matungu Constituency does not have a patrol vehicle to ... view
  • 7 May 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie. Kwa yale yote ambayo yamekuwa yakiendelea, mimi ni Mbunge ambaye ameadhirika kwa hali ya juu. Kwa mwezi mzima kumetokea vifo vya watu 12 kwa jumla wakiwemo watoto wa shule. Mtoto wa kwanza akiwa wa kidato cha pili, wapili ni wa kidato cha tatu na wa mwisho ambalo ni jambo la kusitikisha ni ya kwamba jumapili hii waliua mtoto wa miaka mitatu. view
  • 7 May 2019 in National Assembly: Ni jambo la huzuni kwa sababu eneo hili la Matungu kuna shida. Shida ya kwanza ni kwamba OCPD anayesimamia police station ya Harambee sub-county hana gari. Ni kama jeshi akitumwa vitani bila silaha. Panapotokea hali kama hii, askari hawana namna ya kusafiri. Ni jambo ambalo sijui lilitokea kwa nini. Sijui kama Waziri anajua kwa sababu ili askari wafanye kazi yao kwa njia ambayo inastahili, wanafaa kupata gari la kuzungukia. Hawana gari. Gari lililoko limeharibika. Inasemekana kwamba wakati walikuwa wanapeana magari, kituo cha polisi cha Harambee hakikuwa gazetted. Kwa hivyo, hakikupata gari walipokuwa wakipeana magari ya view
  • 7 May 2019 in National Assembly: yale serikali ilikuwa inapena kwa kila kituo cha polisi. view
  • 7 May 2019 in National Assembly: Jambo la pili, eneo hili ni kubwa na linahitaji askari wa kutosha. Nilipoenda kukutana na wasimamizi wa sub-county, ilionekana kwamba askari ni wachache. Swali ambalo liko katika akili yangu ni sijui kama Waziri mhusika anajua kwamba eneo hili ni kubwa na idadi ya askari ni ndogo. Kwa sasa tunapoongea katika Bunge hili, wananchi wa sehemu husika wako na hasira. Chochote kinaweza kutokea na ningependa Bunge hili tukufu… view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili pia nami niongeze sauti yangu kwa huu mjadala. Hawa wazee wa kijiji ni wananchi wema kwa sababu wanafanya kazi nzuri. Wao ndio husaidia nchi kupokea habari za jambo lolote linapotokea katika eneo lolote nchini. Hili ni jambo ambalo lingefanywa kitambo. Ni wazee ambao hujitolea; hutoka majumbani mwao mapema na kurudi usiku. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Unavyofahamu, hawa ni watu ambao wana familia. Wakitoka kufanya kazi hizi, wako na majukumu ya kulea familia zao. Wako na watoto ambao wanaenda shule na vile vile wana mahitaji. Kwa hivyo, ni vema sisi kama viongozi tuwasaidie ili waweze kujisikia kama Wakenya wengine. Ni vigumu kuwa katika viatu vyao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus