Kassim Sawa Tandaza

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 47.

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuunga mkono --- view
  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuunga mkono --- view
  • 10 Sep 2020 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada huu wa maana ambao ikiwa utatekelezwa, utaweza kuokoa maisha ya watu wengi katika nchi hili. Ni jambo la kuhuzunisha sana unapoangalia takwimu za watalaam wa ugonjwa wa kansa kama ilivyotajwa awali. Wataalamu ni takriban arobaini nchi nzima kati ya watu takriban millioni hamsini. Takwimu zinasema twapoteza watu elfu thelathini kila mwaka. Hizi ni takwimu zinazotoka kwa wale amabao walipata fursa ya kuenda hospitalini na ikajulikana kitaalamu kuwa wanaugua kansa. Ninavyojua ni kwamba wengi wanaougua ugonjwa huu huwa wanafariki bila kwenda hospitali kwa sababu ya gharama ya ... view

  • 25 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I beg to ask Question 089/2020 to the Cabinet Secretary for Energy: (i) Could the Cabinet Secretary explain why residents of Tiwi Location in Matuga Constituency who were awarded compensation on 26th January 2012 by the Kenya Power, following the installation of the proposed 132KV transmission power line - Rabai-Galu high voltage power line - have not been paid the said compensation to date? (ii) When does the Ministry intend to effect the said payments, factoring in the inflation rate from 2012 to date? view
  • 10 Mar 2020 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii kuwashukuru Wabunge wenzangu ambao niliweza kufika nao Msambweni jana. Wabunge wa nchi nzima, wa matabaka mbali mbali na dini mbali mbali waliweza kufika Msambweni kuweza kumsafirisha ndugu yetu, Mhe. Marehemu Suleiman Dori. Kama mnavyojua, sisi waislamu ukiaga, ukichukua masaa matatu kabla ya kuzikwa, basi huwa umechukua muda mrefu sana. Hili ni jambo ambalo ndugu zangu wa Bunge walifahamu. Kwa mfano, ikiwa nitaaga saa tisa, pengine ikifika saa kumi na moja nitakuwa nimezikwa. Kwa hivyo, nitawaambia wenzetu kwamba, kwa sababu tunajua kuwa tuna Wabunge waislamu, wawe tayari wakati wowote mwenzao akiaga kusafiri. Janga ... view
  • 10 Mar 2020 in National Assembly: Asante sana. view
  • 10 Mar 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I, the undersigned, on behalf of residents of Golini, Kwale County, draw the attention of the House to the following: THAT, residents of the then Golini Location in present day Matuga Constituency have been living on their land for many years and utilising it to sustain their economic needs; The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view