Kassim Sawa Tandaza

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 101.

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I, therefore call Hon. Owen Baya to second. Thank you. view

  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii. Nina Mswada ambao nimeushughulikia kwa muda wa miaka mitatu na hadi sasa haujaisha. Ni jambo la busara kwa Kamati husika na Wabunge wote kuhakikisha kwamba kazi iliyofanyika kwa miaka mitatu haitapotea. Kama unavyojua, Mswada wangu umekuwa hapa na ni vyema ikiwa utahifadhiwa mpaka upitishwe na Bunge hili kuwa sheria ili uweze kuwanufaisha watu wa Matuga na Wakenya wote kwa jumla. Asante sana na naunga mkono pendekezo hili. view
  • 3 Dec 2020 in National Assembly: Asante sana Mhe. Spika. Jambo hili, kama vile tulivyozungumzia, ni la uwazi. Sisi kama waheshimiwa, tuko kama vinara wa CDF. We are only patrons. Kazi yote hufanyika kupitia hizi kamati. Ninaunga mkono. Ninaomba sisi sote tuipitishe Hoja hii. Hata zile pesa tulizozizungumzia zikitoka kwenye Hazina ya Taifa ikiwa bado Kamati kwenye sehemu za uwakilishi bungeni hazijakuwa tayari, wananchi hawatanufaika. Kwa hayo machache, ninaiunga mkono Hoja hii. view
  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuunga mkono --- view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada huu wa maana ambao ikiwa utatekelezwa, utaweza kuokoa maisha ya watu wengi katika nchi hili. Ni jambo la kuhuzunisha sana unapoangalia takwimu za watalaam wa ugonjwa wa kansa kama ilivyotajwa awali. Wataalamu ni takriban arobaini nchi nzima kati ya watu takriban millioni hamsini. Takwimu zinasema twapoteza watu elfu thelathini kila mwaka. Hizi ni takwimu zinazotoka kwa wale amabao walipata fursa ya kuenda hospitalini na ikajulikana kitaalamu kuwa wanaugua kansa. Ninavyojua ni kwamba wengi wanaougua ugonjwa huu huwa wanafariki bila kwenda hospitali kwa sababu ya gharama ya ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus