21 Oct 2015 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. You asked me to wait for a while regarding my statement and yet we are moving on to the next Order.
view
21 Oct 2015 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, this statement concerns a Kenyan who is languishing in a foreign country. The Chairperson in the previous meeting has said she has no answer. I do not know whether the Member will keep her word that by Tuesday, next week, we will have an answer to this statement. If that is the case, I will indulge her.
view
14 Oct 2015 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. I was almost tempted to speak in Kiswahili, but once the Senator of Kwale County has spoken, I will not be doing justice to the Kiswahili language. From the onset, let me take this opportunity to commend the team which put this Report to embark on this very gigantic task. Where there is a will, there is always a way. Since we came to this Senate almost two and a half years ago, we have been faced with challenges. Our role has been to defend devolution. We have tried effectively to do that without the ...
view
13 Oct 2015 in Senate:
Hoja ya nidhamu. Bw. Spika wa Muda. Kwa vile sasa yaonekana tukifanya majadiliano kuhusu Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania, ingelikuwa vyema utumie kipengee cha kwanza cha Kanuni za Seneti kuhakikisha kwamba kila atakayezungumza anaongea kwa Lugha ya Kiswahili. Hiyo itakuwa heshima kwa wale ambao wanataka kusema wana ubabe wa Kiswahili, tujadiliane kwa Lugha ya Kiswahili.
view
13 Oct 2015 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nashangazwa na runinga yetu hapa. Ni hujuma au nini?
view
13 Oct 2015 in Senate:
Hoja ya Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nimesikia Seneta mwenzangu akitaja kwa lugha ya Kimombo “diminishing whatever.” Hiyo inamaanisha nini?
view
13 Oct 2015 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, sentensi yake haikuwa kamilifu. Haina maana kuzungumzia kitu kisichokamilifu. Alikuwa anatumia lugha ya Kimombo akasema “diminishing whatever.” Sikuelewa hiyo inamaanisha nini. Siyo kwamba sielewi Kimombo lakini sentensi hiyo haikuwa kamilifu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
13 Oct 2015 in Senate:
On a point of order. Mr. Speaker, Sir, have you heard the Senator purporting to say that Kenyans are called land grabbers? Is it something confirmed or they are assertions of our neighbours?
view
13 Oct 2015 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa fursa hii nichangie Hoja hii kutokana na Hotuba ya Rais wa nchi jirani ya Tanzania, Mhe. (Dkt.) Jakaya Kikwete, katika Bunge la Kenya. Nampongeza Rais huyo kwa unyenyekevu na uzalendo wake kwa Jumuia ya Afrika Mashariki. Rais Kikwete amefuata nyayo za waliomtangulia; Mwalimu Kambarage Nyerere, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kwa kuleta utangamano wa Tanzania na mataifa mengine ya Afrika Mashariki. Rais Kikwete alizungumzia maswala ya uwekezaji katika Tanzania. Ningependa kuyatilia mkazo mawazo ya Seneta wa Kaunti ya Kakamega, (Dkt.) Khalwale kwamba Wakenya wana nafasi nzuri ya kuekeza Tanzania katika sekta ya ...
view
7 Oct 2015 in Senate:
Bw. Mzungumzishi, umesema kwanza tuanzie kwa wale wanataka kuuliza maswala fulani. Langu lilikuwa swala la mbeleni hivyo basi nitangoja kidogo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view