Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 298.

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: No, Hon. Temporary Deputy Speaker. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi kuchangia Ripoti iliyoletwa na Mhe. Sheriff Nassir. Kwanza, nina bahati kuwa nilisoma na Sheriff Nassir darasa moja. Nimebahatika kuwa naye Bunge kwa mara ya pili. Naielewa kazi yake na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, anatosha kuwa Gavana wa Mombasa. Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, ukaguzi wa hesabu ni jambo ambalo kama Wabunge lazima tulizingatie kwa makini. Kulingana na sheria ya Kenya, yeyote ambaye ana haki ya shamba lolote sharti awe na hati miliki. Tukiangalia mtiririko wa Ripoti hii, ni wazi kuwa mashirika mengi ya Serikali hayana hati miliki. Kama Kamati ... view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: kukamilisha chochote ambacho kinaletwa hapa. Tukiweka mikakati ya kisawasawa ya kuwa jambo lolote linalopitishwa na Bunge hili linakamilishwa, basi ripoti nyingi zinaweza kukamilishwa. view

  • 10 Sep 2020 in National Assembly: Naunga mkono Ripoti hii. Asante sana kwa kunipa fursa hii. view

  • 12 Aug 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support the Report on the consideration of the Petition of former workers of the late Mayer, Jacob Samuels regarding the invasion and eviction of the workers from the land in Roysambu Constituency by KDF. First, let me start by appreciating the fact that this Petition was tabled by yourself and it was brought to the attention of the House through your office. Moreover, I appreciate the fact that last week you exempted it from the normal procedures as per the Standing Orders and allowed it to be debated today. Hon. Temporary ... view
  • 5 Aug 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to second the Motion requesting the Report to be debated by Members of Parliament. This Report has serious public interest. It will be prudent enough for Members to, at least, go through the Report so that they can understand what is going on in our Ministries. This is because, the Report involves serious Government institutions like the KDF, the Ministry of Defense and the Ministry of Lands and Physical Planning. Therefore, I stand to second. Thank you very much. view