Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 301 to 311 of 311.

  • 25 Jun 2014 in National Assembly: Hon. Speaker, it is okay as long as I am incorporated when he is getting the information. view
  • 16 Jul 2013 in National Assembly: Ahsante sana mhe. Spika. Nasimama kupinga Hoja hii. Watu wamekuwa wakioana kwa muda mrefu. Tukifanya haraka tutapitisha suala ambalo litatusumbua baadaye. Naomba tulijadili hili suala baada ya kutoka kwenye mapumziko ndipo tuweze kufanya kazi bora. view
  • 10 Jul 2013 in National Assembly: Ashante sana, Mhe. Bowen kwa fursa hii. Ningependa kuunga mkono Hoja hii kwa sababu ni Hoja ambayo imekuwa mara kwa mara katika Serikali ya Kenya, tukiangalia Shirika la Kenya Power likiwa na uzembe wa kupeleka huduma zao kwa wananchi. Kulingana na mfumo wa kibiashara, lazima kuwe na mashindano. Yakiwemo mashindano, nina hakika yale malipo ambayo wananchi wanatakikana kulipa yatashuka. Mwezi huu wa Ramadhani, sisi Waislamu tunatumia wakati wa usiku kupeleka maombi yetu, kukaa vizuri na kuomba Mungu ili atusamehe makosa na dhambi zetu. Kwa hivyo, ninaomba Kenya Power wapunguze visa vya kukata stima wakati wa usiku kwa sababu tuko katika ... view
  • 5 Jun 2013 in National Assembly: Ahsante sana mhe. Naibu Spika. Vile vile, ningependa kumpongeza mhe. Joseph Gitari kwa kuleta Hoja hii. Mwenyezi Mungu ndiyo anajalia mwanadamu kuwa na utajiri au umaskini na mimi ningeomba Wabunge tupitishe Hoja hii. view
  • 5 Jun 2013 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, ningeomba Serikali itilie Hoja hii maanani. Hoja nyingi zinapitishwa lakini hatuna hakika kama Hoja hizo zitakuwa sawasawa na zitatekelezwa. Sisi tunapitisha Hoja tukijua kwa imani ya kuwa Serikali iliyoingia sasa hivi itatatua masuala haya. Umasikini umekithiri sana. Watafiti wameshindwa na ugonjwa ya saratani na figo. Watafiti wameshindwa kutambua hayo magonjwa hupatikana kivipi. Lakini sisi tukiwa kama viongozi na Wabunge, tunaomba Serikali pia view
  • 4 Jun 2013 in National Assembly: Asante sana Bw. Spika. Kwanza, ninamshukuru Mhe. Wakhungu kwa kuleta Hoja kama hii wakati huu. Niko katika biashara ya kuingiza mali nchini, lakini ninauliza: Serikali ina taasisi za kuchambua na kuangalia hali ya hewa ili kujua ni lini tutapata mvua na ni lini tutakosa mvua? NCPB haileti mbolea ikiwa imechelewa lakini kuna matatizo ndani yake. Haya matatizo ni kwa sababu ya mivumo yao. Ikiwa Serikali itaweza kuipatia habari taasisi kama hii na kuhakikisha kuwa imeleta mbolea wakati ufaao ili wakulima wapate hiyo mbelea mapema, basi hatutakuwa na matatizo kama haya. Kama vile mwenzangu aliyenitangulia amesema, hii ni kwa sababu ya ... view
  • 4 Jun 2013 in National Assembly: Asante sana Bw. Spika. Kwanza, ninamshukuru Mhe. Wakhungu kwa kuleta Hoja kama hii wakati huu. Niko katika biashara ya kuingiza mali nchini, lakini ninauliza: Serikali ina taasisi za kuchambua na kuangalia hali ya hewa ili kujua ni lini tutapata mvua na ni lini tutakoza mvua? NCPB haileti mbolea ikiwa imechelewa lakini kuna matatizo ndani yake. Haya matatizo ni kwa sababu ya mivumo yao. Ikiwa Serikali itaweza kuipatia habari taasisi kama hii na kuhakikisha kuwa imeleta mbolea wakati ufaao ili wakulima wapate hiyo mbelea mapema, basi hatutakuwa na matatizo kama haya. Kama vile mwenzangu aliyenitangulia amesema, hii ni kwa sababu ya ... view
  • 22 May 2013 in National Assembly: I think so, hon. Temporary Deputy Speaker Sir. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Imekuwa ni kindumbwendumbwe kikubwa kupata fursa hii lakini nashukuru Mungu na nakushukuru pia wewe kwa kuwa katika hicho Kiti leo. Shukrani nyingi napeana kwa wananchi wa Lungalunga walionichagua mimi, Khatib Abdallah Mwashetani kuwa Mbunge wao, mtetezi wao na kuwa mchungaji wao kwa mambo ya kimaendeleo. view
  • 22 May 2013 in National Assembly: Kusema kweli, swala hili la leo limenishika sana kwa sababu kitengo kikubwa cha uchumi katika maeneo yangu ni uvuvi. Lakini uvuvi huo vile vile umezembeka kwa sababu ya mambo mengi. Waheshimiwa wengi wamezungumza na wameeleza mengi lakini niko na sababu zangu zile ambazo ni sugu ambazo naziona zimeleta uzembezi katika kuwajibika katika uchumi wa uvuvi. view
  • 22 May 2013 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, Vanga ni eneo langu ambalo wananchi wanategemea sana uvuvi. Kwa kweli, Serikali ilifanya juhudi ikatujengea cold storage ama sehemu ya baridi ya kuweka samaki. Lakini, vile vile, kule Vanga, tunategemea umeme unaotoka Tanzania ambao ni Tanga. Umeme ule ndio unaoendesha ile cold view
  • 22 May 2013 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker, Sir. Is there quorum in the House? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus