25 Apr 2023 in Senate:
gani tunaweza kuwapea ili waweze kuangaliwa? Pili, tutaweza kumonitor vitendo kama hivi vipi? Hii ni kitu kinachoitwa cult . Hii kitu haikuwa kwa mtu mmoja tu. Haiko tu kwa Pastor Mackenzie peke yake. Imekwenda mahali pengi.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Mackenzie ni mtu anayejulikana kwa sababu alionekana akiwa na Rais wa nchi ya Kenya wakiwa kwa maombi pamoja. Hii ni masikitiko makubwa.
view
25 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Ninataka kujua kama ni kweli ama si kweli?
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, mimi hata hawakunipa nafasi ya kusema vile nilikuwa nataka kusema. Mimi nilikuwa nikisema kuwa Bwana Mackenzie alionekana wakiomba pamoja. Sikusema zaidi ya hapo. Hivyo tu ndivyo nimesema
view
25 Apr 2023 in Senate:
Sijasema kitu. Kwa hivyo, mimi nimesema tu wamekuwa kanisani pamoja. Hiyo tu ndio nimesema peke yake. Je, kuna ubaya wao kuwa kanisani pamoja? Yeye ni mchungaji.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, kabla watu hawajajua ni kazi gani aliyo kuwa akifanya, alikuwa ni mchungaji na alikuwa anaombea watu. Kwa hivyo, ameonekana na watu wengi kanisani.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, naomba uweze kunilinda nimalize, tafadhali. Na naomba niongezewe dakika moja.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, kwa hivyo, naomba uchunguzi wa haraka uanzishwe. Naomba wakubwa wa makanisa na wa---
view
20 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for the consideration and sorry for the inconvenience.
view