4 May 2023 in Senate:
I request Sen. (Dr.) Khalwale to second the Motion.
view
2 May 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Health concerning claims of shortage of oxygen in Kenya's Emergency Care Facilities. In the Statement, the Committee should- (1) Shed light on reports that over 30 per cent of emergency care centres in the country do not have regular supply of oxygen and that close to 90 per cent of those with oxygen do not have piped oxygen in the emergency department or that which is delivered directly from the tanks to the patient. (2) Provide the estimated cost of ...
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante, Naibu Spika. Ningependa kuunga mkono taarifa ya kukubalia Qatar Airlines haki kama mashirika ya ndege zingine, kutua uwanja wa Kimataifa wa Mombasa. Huu ni mjii mkuu wa pili wa Kenya. Tumeona ndege nyingi kama Condor zilizokuwa zinatoka Ujerumani hadi Mombasa. Qatar italeta mambo ya utalii na itatuwezesha kuinua uchumi wa nchi. Haya ni masikitiko makubwa kama tumeinyima uwezo wa kufika jijini Mombasa. Naunga mkono pia kuwa Mombasa yafaa kupewa kipao mbele kwa upande wa utalii na haki za kuwezesha ndege zingine kufika na kutua katika uwanja wa ndege wa Mombasa. Asante .
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda. Langu ni kukemea kile ambacho kilitendeka na kutoa masikitiko makubwa kwa watu wa Kaunti ya Kilifi na Wakenya kwa jumla. Watu wengi sana walikwenda na imechukua miaka nyingi sana. Hii ilianza mwaka wa 2017. Ninaambiwa hapa ya kwamba ilianza mwaka wa 2003. Haya yote yalikuwa yakitendeka katika nchi yetu tukiwa tuko hapa. Nchi ilikuwa kwenye utawala wa kaunti na ilikuwa na Gavana ilhali hatukuweza kujua kuwa watu wetu, familia zetu na ndugu zetu walikuwa wakienda kwenye huo msitu. Huo msitu umekula watu wengi. Ningeomba uchunguzi ufanywe kwa haraka. Pastor Mackenzie alikuwa ameshikwa kabla ya haya ...
view
25 Apr 2023 in Senate:
gani tunaweza kuwapea ili waweze kuangaliwa? Pili, tutaweza kumonitor vitendo kama hivi vipi? Hii ni kitu kinachoitwa cult . Hii kitu haikuwa kwa mtu mmoja tu. Haiko tu kwa Pastor Mackenzie peke yake. Imekwenda mahali pengi.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Mackenzie ni mtu anayejulikana kwa sababu alionekana akiwa na Rais wa nchi ya Kenya wakiwa kwa maombi pamoja. Hii ni masikitiko makubwa.
view
25 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Ninataka kujua kama ni kweli ama si kweli?
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, mimi hata hawakunipa nafasi ya kusema vile nilikuwa nataka kusema. Mimi nilikuwa nikisema kuwa Bwana Mackenzie alionekana wakiomba pamoja. Sikusema zaidi ya hapo. Hivyo tu ndivyo nimesema
view
25 Apr 2023 in Senate:
Sijasema kitu. Kwa hivyo, mimi nimesema tu wamekuwa kanisani pamoja. Hiyo tu ndio nimesema peke yake. Je, kuna ubaya wao kuwa kanisani pamoja? Yeye ni mchungaji.
view