Ledama Olekina

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

11th November 1974

Link

Facebook

Web

http://www.ledama.com/

Link

@ledama on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 351 to 360 of 4076.

  • 20 Mar 2024 in Senate: Ndiyo, Bw. Naibu Spika. view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Ningependa kumshukuru Sen. Faki ambaye ametilia maanani yale mambo ninayozungumzia hapa kuhusu afya ya Wakenya. Je, itakuwa ni ungwana ikiwa ukienda kule Jaribuni Kilifi County, ukisimama na kuhesabu wanaume ni kama 20 peke yake, lakini mtoto ni mmoja. Vile amesema, hii vumbi inaharibu mbegu ya mwanaume. Hicho ni kitu kinanikera sana. Ndivyo ninasema, ningemshawishi mwenzangu Kiongozi wa Walio Wachache alete Hoja hapa katika Bunge hili ili tuweze kuchunguza. Jambo hili sio jambo la kuchezewa. Ukiona watoto wanaokuwa vipofu, wagonjwa, na wazazi wao hawana pesa ya kuwapeleka hospitali, tunakuwa kweli fair? How do you say ‘ fair ’ in Kiswahili? Asante. view

  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, naweza kuendelea? view

  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, asante kwa kunipa nafasi hii kumuuliza Mhe. Murkomen swali. Seneti ni Bunge linalohifadhi kumbukumbu na rekodi za kila jambo tunalofanya hapa. Nikimnukuu, wakati Mhe. Murkomen alipokuja hapa, alisema kwamba view

  • 20 Mar 2024 in Senate: wa barabara ya kutoka Ngong hadi Suswa atakwenda kule kwa muda wa wiki mawili. Sasa miezi saba imepita tangu Mhe. Murkomen alipokuwa hapa. Katika kumbukumbu za Seneti, tuliambiwa kuwa contractor atakwenda kule kwa muda wa wiki mbili. Barabara hiyo imebakisha kilomita sita pekee kukamilika. Kuna sehemu ndogo tu ya kuweka daraja na mahali ambapo mawe yanatakikana kuondelewa ili tupate njia mbadala ambayo watu wanaosafiri kwenda Narok, Migori na Kisumu wanaweza kutumia. Namwomba--- view

  • 20 Mar 2024 in Senate: Naomba Mhe. Murkomen akumbuke kwamba kuna kumbukumb katika Seneti. Anafaa kutueleza lini barabara ya Ngong kwenda Suswa itamalizika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus