Ledama Olekina

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

11th November 1974

Link

Facebook

Web

http://www.ledama.com/

Link

@ledama on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 361 to 370 of 4076.

  • 20 Mar 2024 in Senate: Naomba Mhe. Murkomen akumbuke kwamba kuna kumbukumb katika Seneti. Anafaa kutueleza lini barabara ya Ngong kwenda Suswa itamalizika. view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Wewe unajua Kiswahili? view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Wewe unajua Kiswahili? view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, Sen. Abdul Haji ni mfugaji kama mimi. Kwangu mimi, Kiswahili kilikuja na meli. What do you call a train? view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, Sen. Abdul Haji ni mfugaji kama mimi. Kwangu mimi, Kiswahili kilikuja na meli. What do you call a train? view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, sitaki kupoteza muda wa kuuliza swali langu kwa kuwa ni nyeti. view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Bw. Naibu wa Spika, sitaki kupoteza muda wa kuuliza swali langu kwa kuwa ni nyeti. view
  • 20 Mar 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunilinda. Mhe. Murkomen alipokuja hapa alitueleza kwamba mkandarasi atakwenda kule kwa muda wa wiki mbili. Je, huu ni ungwana? Hadi sasa miezi saba imepita. Barabara hiyo ni kilomita sita pekee. Shida ni nini? view

  • 20 Mar 2024 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Ningependa kupata majibu kutoka kwa Mhe. Waziri wa Elimu kuhusiana na Katiba ya Kenya, Makala ya 189 inayozungumzia juu ya ushirikiano kati ya serikali gatuzi na Serikali ya kitaifa, imeeleza vile ambavyo serikali hizi zinaweza kushirikiana. Ratiba 4, Sehemu ya 16 pia imegawa majukumu za Serikali Kuu na serikali gatuzi. Ningependa kuelewa kutoka kwa Waziri, imekuwaje shule za sekondari na pia shule za msingi kwa sasa zinajengwa na serikali gatuzi. Imekuwaje kuwa madarasa za ECDE ama yale madarasa ya kiwango cha chini hazijengwi kabisa na serikali gatuzi na Serikali Kuu haisumbuliwi na jambo hilo. Ninataka kujua ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus