All parliamentary appearances
Entries 371 to 380 of 4088.
-
20 Mar 2024 in Senate:
wa barabara ya kutoka Ngong hadi Suswa atakwenda kule kwa muda wa wiki mawili. Sasa miezi saba imepita tangu Mhe. Murkomen alipokuwa hapa. Katika kumbukumbu za Seneti, tuliambiwa kuwa contractor atakwenda kule kwa muda wa wiki mbili. Barabara hiyo imebakisha kilomita sita pekee kukamilika. Kuna sehemu ndogo tu ya kuweka daraja na mahali ambapo mawe yanatakikana kuondelewa ili tupate njia mbadala ambayo watu wanaosafiri kwenda Narok, Migori na Kisumu wanaweza kutumia. Namwomba---
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Naomba Mhe. Murkomen akumbuke kwamba kuna kumbukumb katika Seneti. Anafaa kutueleza lini barabara ya Ngong kwenda Suswa itamalizika.
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Naomba Mhe. Murkomen akumbuke kwamba kuna kumbukumb katika Seneti. Anafaa kutueleza lini barabara ya Ngong kwenda Suswa itamalizika.
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Wewe unajua Kiswahili?
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Wewe unajua Kiswahili?
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, Sen. Abdul Haji ni mfugaji kama mimi. Kwangu mimi, Kiswahili kilikuja na meli. What do you call a train?
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, Sen. Abdul Haji ni mfugaji kama mimi. Kwangu mimi, Kiswahili kilikuja na meli. What do you call a train?
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, sitaki kupoteza muda wa kuuliza swali langu kwa kuwa ni nyeti.
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, sitaki kupoteza muda wa kuuliza swali langu kwa kuwa ni nyeti.
view
-
20 Mar 2024 in Senate:
Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunilinda. Mhe. Murkomen alipokuja hapa alitueleza kwamba mkandarasi atakwenda kule kwa muda wa wiki mbili. Je, huu ni ungwana? Hadi sasa miezi saba imepita. Barabara hiyo ni kilomita sita pekee. Shida ni nini?
view