Liza Chelule

Parties & Coalitions

Liza Chelule

She is the founder of Gender Equity Network formed in 2008 after the Post Election Violence to initiate peace initiatives and civic education.

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 241.

  • 26 Jun 2019 in National Assembly: Most of us guarantee a borrower with the knowledge that tomorrow when you become a borrower, they will be your guarantor. This tells me that the CBK should come up with good regulations that will take into consideration the interests of the principal borrower and the guarantor. This is about regulations. I do not think it is about the mistake of either the borrower or the guarantor. The CBK should come up with good regulations that are friendly to take care of both the borrower and the guarantor. In most cases, banks have always been going directly to the guarantor ... view
  • 26 Jun 2019 in National Assembly: many people. We do not know why banks make guarantors suffer for nothing. It is a concern that CBK should come up with regulations that will protect both borrower and guarantor. view
  • 26 Jun 2019 in National Assembly: With those few remarks, I support this Bill. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi pia mimi kama Mbunge kutoka kaunti ya Nakuru kuchangia Hoja ambayo imeletwa katika Bunge hili na Mhe. Mohamed Ali wa Nyali. Kwanza, nitataka kupongeza Wabunge wenzangu ambao wameongea mbele yangu. Wamesema mambo ambayo yanagusa wananchi wa nchi hii. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, hujawahi ona watu wakiteseka; mtu anapelekwa hospitali akiwa mgonjwa; anakaa hospitali mwezi mmoja ama hata mwaka halafu anakufa. Mwili unawekwa kwa sababu wameshindwa kulipa pesa. Ni taabu sana. Kwa hivyo wale Wabunge ambao wameongea mbele yangu ninawaunga sana mkono na ninampongeza sana Mheshimiwa aliyaleta hii Hoja. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Sisi kama Wabunge, haya ni mambo ambayo yanatuhusu kama vingozi. Shida na wasiwasi wangu leo ninapoongea ni Kamati Tekelezi. Inatupatia wasiwasi sana kwa sababu hii ni Hoja ambayo itasaidia wananchi wa Kenya. Tunaelewa watu wanateseka sana. Mambo ya ugonjwa wa saratani umeleta shida kwa wananchi wote wa Kenya hata sisi Wabunge. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Sisi wote tunaelewa huu ni ugonjwa ambao hauna tiba na umetatiza kila mtu. Ni ugonjwa ambao unachukua nafasi kubwa sana na gharama yake iko juu. Tunapoongea tunafanya hivyo kwa niaba ya wale wananchi waliotuchagua na wanajua kwamba Bunge hili letu la taifa lina nguvu na uwezo wa kufutilia mbali ada ambazo zinatozwa kwa wale watu wako hospitali haswa kwa sababu ya magonjwa yasiyo na tiba kama saratani. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Wananchi wa Kenya wako na shida sana kwa mambo ya matibabu. Ningependa kuchukua hii nafasi kuhimiza kamati inayohusika na mambo ya afya kwamba badala ya kutoka nchi hii kujifunza mambo yanayohusu kamati yao, afadhali wazunguke katika hospitali za Kenya. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu wa Spika wa Muda, sisomi lakini kuna vidokezo ambavyo ninatoa. Ni vile nimeshika karatasi mkononi, na ukisema niiweke chini, nitafanya hivyo lakini inanisaidia. Nataka kusema kamati ya afya katika Bunge hili, tafadhali, badala kuenda kujifunza mambo ya afya, kuzunguka katika hospitali za nchi nyingine kujifunza mambo yanayohusu afya, ni muhimu watembee Kenya. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Ni aibu sana usikie mwananchi wa Kenya amechukua hatua ya kuiba mtoto wake akitumia mfuko. Hiyo ni aibu kubwa sana sio kwa mzazi pekee bali hata kwa sisi wote viongozi. Kwa hivyo, kama tungekuwa na utaratibu wa vile tunaweza kuwa na wanakamati ambao wanaangalia Wakenya ambao hawawezi kulipa ada zao kwa sababu hawana pesa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus