All parliamentary appearances
Entries 31 to 40 of 241.
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
wamempoteza mgonjwa wao ama mwingine amepona na hawezi kuondoka kwa hospitali kwa kukosa pesa... Kwa hivyo, ni jukumu letu sisi wote kuangalia kwamba wakati Hoja kama hii imeletwa katika Bunge hili, itekelezwe. Ninaomba Kamati Tekelezi iangalie kwa umakini. Kuongea na kuwakilisha shida za wananchi Bungeni ni tofauti na kutekeleza.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mambo mengi yameongewa na Wabunge wenzangu ambao nataka kuwapongeza sana lakini shida ni vile itatekelezwa. Kwa hivyo, Bunge la Taifa tuko na nguvu na uwezo wa kupitisha sheria ambayo inaweza boresha afya katika nchi yetu ya Kenya.
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, utakubaliana nami kuwa wananchi wengine hapa Kenya wanaamua kuenda hospitali za kibinafsi na wanalipishwa pesa ambazo zinashangaza. Hawalipishi kwa mashilingi au maelfu, wanalipishwa kwa mamillioni. Mtu akikaa kwa wiki moja ama mbili, anapelekwa mbio mbio wadi ya mahututi (ICU) na analipishwa pesa nyingi. Mtu akifa anawekwa na mwili hauwachiliwi mpaka pesa zilipwe. Wananchi wa Kenya wanataabika sana. Sisi kama Bunge tuangalie mambo ya afya katika nchi yetu ya Kenya. Serikali ingekuwa na jinsi ya kuweka utaratibu wa mambo ya hospitali za kibinafsi. Kwa sababu, wanalipisha pesa nyingi sana, ilhali haijulikani wanalipisha nini. Kamati ya Afya ...
view
-
20 Feb 2019 in National Assembly:
Kwa hayo machache, Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono. Asante sana kwa kunipatia nafasi ya kuchangia hii Hoja.
view
-
22 Aug 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also contribute to this Motion. Before I contribute, I want to thank the Mover of this Motion, Hon. Nangabo, for bringing it to the Floor of this House. We all know that this is a vulnerable situation for women who are affected. This is a problem that affects all of us. If you are not suffering from it and other women are, we are all affected. The Mover of this Motion is requesting the Government to provide specialised training on fistula to surgeons and subsidise the cost of ...
view
-
22 Aug 2018 in National Assembly:
So, it is very important for women to be educated about the causes of fistula. I am so happy that this Motion has been brought to the House. I am happy with the way Members who have talked before me are supporting this Motion. I also support. With those few remarks, Hon. Temporary Deputy Speaker, I support. Thank you.
view
-
15 Aug 2018 in National Assembly:

2 Aug 2018 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
-
2 Aug 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. May I know if we are discussing the Mau Forest issue or the Report of the Departmental Committee on Environment and Natural Resources? May I be guided? It seems as if the Leader of the Minority Party is only dwelling on the Mau Forest issue. Are we discussing the Mau Forest evictions or the committee report?
view