Lydia Haika Mnene Mizighi

Parties & Coalitions

Email

hycalydy@gmail.com

Telephone

0721452391

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 80.

  • 17 Nov 2021 in National Assembly: fedha zetu tukiahidiwa mambo ambayo hayawi.” Kwa hivyo, ni vizuri pia ichunguzwe na kama kuna ukweli wapate haki yao na kama basi pia wanadhulumu wananchi sheria ichukue mkono wake. Ninafurahia kwamba pale Mwatate, Majengo-Singila na hata Langateni wataweza kupata fursa ya kupata ile shamba ambayo… view
  • 9 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, for giving me this opportunity. I want to say that, being the leaders that we are, we should always lead by example. No matter what happens out there, we should always be on the right. We should not put our guard down as pertains to COVID-19 protocols. Therefore, I think we should continue following the protocols as we were doing before. view
  • 29 Sep 2021 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuchangia Mswada huu ambao ni muhimu sana kwa taifa letu la Kenya wakati huu ambapo vijana wengi hawana ajira. Vijana wengi hawana ajira The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 29 Sep 2021 in National Assembly: kwa sababu wengine wana matatizo na changamoto zao. Hawajakuwa na uwezo wa kulipia vyeti ambavyo vimefanywa kuwa lazima ili waweze kupata ajira. Vijana wengi wanatoka kwa familia ambazo zina chanagamoto. Wengine wamesoma kupitia ufadhili na misaada kutoka kwa wasamaria wema. Familia kama hizo haziwezi kabisa kulipia vyeti hivyo. Watoto wengine ni mayatima. Nimekumbana na wengi sana ambao wamesoma kwa shida na wamepita mitihani vizuri. Wako na vyeti vizuri ambavyo vinaweza kuwasaidia kupata ajira. Lakini suala la kupata vyeti hivi limekuwa mojawapo ya vikwazo ambavyo vinawachuja kwenye kinyaganyiro cha kutafuta kazi. Nampongeza sana Mheshimiwa Keter kwa kuleta Mswada huu Bungeni ili ... view
  • 28 Sep 2021 in National Assembly: I thank you, Hon. Speaker. At the outset I also want to support the Petition. I want to say that I have heard this outcry by the teachers. Our teachers are suffering. For us to be here, we have all passed through the hands of teachers and it is unfortunate that teachers are suffering. In my county, Taita Taveta County, there are teachers who are working in hardship areas and they do not even receive hardship allowance. Therefore, I want to support this Petition and say, enough consultation would have been done before this decision was made. So, I thank ... view
  • 10 Aug 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I start by supporting this Petition because land matters are weighty in Kenya, especially in the Coast region. Kenyans and people from the Coast had very high hopes in the agricultural project that the Government set up at Galana Kulalu. If the project does not exist and the land is no longer serving the intended purpose, I support its de-gazettement. Thank you for giving me the opportunity. view
  • 10 Aug 2021 in National Assembly: Asante sana Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili nichangie Mswada huu ulio muhimu sana. Ninampongeza Mhe. Rehema Jaldesa kwa kulifikiria hili jambo na kulileta hapa ili tulijadili. Ni kweli, kumekuwa na ukame. Hata tunahofia kwamba tutaanza kupoteza watu wetu na mifugo kwa ajili ya njaa. Katika kaunti yangu ya Taita Taveta pia kuna ukame sampuli mbili. Sampuli ya kwanza inasabibishwa na ukosefu wa mvua na maji. Sampuli ya pili inasababishwa na wanyamapori. Hii ni kwa sababu tumezungukwa na mbuga ya wanyama pori. Katika zile sehemu chache ambako mvua imenyesha na watu wamepanda mimea, wanyamapori wanavamia na kula ... view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Asante Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda. Pia mimi nataka kuchukua hii fursa kuunga mkono mabadiliko haya ili wananchi wapate kujua Serikali kuu inapanga kufanya miradi gani na pia kuweza kutofautisha miradi ambayo inafanywa na serikali zetu za kaunti na miradi inayofanywa na Serikali kuu ili kuweza kuboresha utendakazi. Asante. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Asante Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda. Pia mimi nataka kuchukua hii fursa kuunga mkono mabadiliko haya ili wananchi wapate kujua Serikali kuu inapanga kufanya miradi gani na pia kuweza kutofautisha miradi ambayo inafanywa na serikali zetu za kaunti na miradi inayofanywa na Serikali kuu ili kuweza kuboresha utendakazi. Asante. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus