Lydia Haika Mnene Mizighi

Parties & Coalitions

Email

hycalydy@gmail.com

Telephone

0721452391

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 80.

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Shukrani sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii. Asante sana, Mhe. Mucheke, kwa kunipatia pia fursa hii niweke sauti yangu kuhusiana na masuala haya ya saratani. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Nitasema kwa ufupi kwamba namshukuru Mhe. (Daktari) Tum, kwa kuleta Hoja hii. Huu ndio wakati mwafaka wa kuongelea masuala ya saratani kwa sababu tumepoteza wenzetu kwa sababu ya saratani. Kila mtu apimwe saratani; sio vijana ama wasichana pekee. Hata wazee na akina mama wapimwe pia. Serikali inafaa iwekeze zaidi kwa masuala ya saratani ili tuweze kupata madaktari na wauguzi wenye ufahamu wa mambo ya saratani na tuwe na vifaa thabiti vya kuweza kutusaidia katika matibabu. Pia, kutengwe pesa kwa ajili ya… view

  • 28 Feb 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.071/2019. The Question is directed to the Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife. (a) Is the Cabinet Secretary aware that the residents of Voi-Sagalla, Kajire Boghuta, Mwalungali, Kasighau, Ghazi Mwatate-Mwalu Fau, Msorongo, Kwamnengwa, Kamtonga, Wusi-Kashamba and Ngerenyi in Taita-Taveta County have incurred loss of lives and properties due to human-wildlife conflict? (b) What measures is the Ministry putting in place to contain the human-wildlife conflict and further, compensate the residents for lives lost and properties damaged? view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to add my voice to this Bill. Being a member of the Departmental Committee on Sports, Culture and Tourism, I support this Bill. This Bill is going to return our lost glory in many of our sporting activities. We know that we have lost a lot of talent in this country due to lack of support. I know by us having this Fund, we are going to support those talents. We are going to motivate and also nurture most of the talents that we have in this country. We ... view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: I know with us having this Bill, we are going to save many young people. Again, just like most of our counties, my county of Taita Taveta does not have a stadium. I know that when we will have that Fund, we will construct state-of-the-art stadia in our counties. Finally, a sporting country is a healthy country. Therefore, I support. Thank you, view
  • 24 Apr 2018 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Kwa niaba yangu na kwa niaba ya wananchi wa Taita Taveta, nachukua fursa hii kutuma rambirambi kwa jamaa na marafiki wa Mhe. Grace. Nilipata fursa ya kumjua kidogo tu. Siku yetu ya kuapishwa hapa Bungeni, nilikuwa nimeketi karibu naye na tuka… view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii hata mimi nichangie Hoja hii ambayo ni ya muhimu sana kwetu sisi, haswa akina mama. Zoezi hili la kutafuta vyeti vya kuzaliwa vinatuhusu sana. Nachukua fursa hii kumpongeza Mhe. Martha kwa kuifikiria Hoja hii na kuileta hapa Bungeni ili tuweze kuijadili. Ni kweli, mambo ya kutafuta vyeti vya kuzaliwa vimekuwa kero kwa wananchi wote wa Kenya. Ni shida sana. Wananchi wanasafiri mbali, wanaenda wakirudishwa, wanatumia pesa nyingi na kila wakifika pale, wanaambiwa warudi siku inayofuatia. Hivi majuzi, kule kwetu Taita Taveta, hata yale makaratasi ya kuchapisha vyeti hivyo hayakuwepo. ... view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also rise to support the Motion on the appointment of Dr. Julius Muia and Mr. Nelson Marwa as PSs, State Departments for Planning and Devolution, respectively. I specifically want to talk about Mr. Nelson Marwa. I thank the President for honouring Mr. Nelson Marwa with this appointment. Having worked with him at the Coast, I know Mr. Nelson Marwa to be a very hardworking man. I know he is a tough talker. I am very sure he is up to the task. I got an opportunity to be at the vetting panel and ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus