Martha Wangari

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Email

senatormartha@gmail.com

Telephone

0707602688

Link

@HonWangari on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 5631 to 5640 of 6328.

  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Ahsante sana. Mbunge wa Nyali, Mhe. Mohamed Ali. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Ahsante sana. Mbunge wa Seme, Mhe. James Nyikal. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Mhe. Nyikal, Mhe. Wangwe anaomba akufahamishe. Unakubali akufahamishwe? view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Mhe. Emmanuel Wangwe. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Endelea, Mhe. Nyikal. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Subiri, Mhe. Nyikal. Mheshimiwa wa Dagoretti Kusini, John Waweru, hoja yako ya nidhamu ni gani? view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Asante sana Mhe. Nyikal. Nafikiri umewashangaza wengi kwa ufasaha wako wa lugha ya Kiswahili. Waheshimiwa Wabunge, ningependa kutambua waalimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Serare, kutoka eneo Bunge la Kajiado Kaskazini katika Kaunti ya Kajiado, ambao wameketi kwenye eneo la Spika. Tuwakaribishe hapa wanapofuatilia mjadala katika Bunge hili. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Mbunge wa Mathare, uko na hoja ya utaratibu? view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Nafasi hii tutaitoa kwa Mbunge wa Imenti Kaskazini, Mhe. Rahim. view
  • 2 Nov 2022 in National Assembly: Mbunge wa Moiben, Phylis Bartoo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus