Milgo Alice Chepkorir

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 1009.

  • 22 Dec 2021 in Senate: Pursuant to Standing Order 148, I beg to move – THAT the Committee of the Whole do report progress on its consideration of the Heritage and Museums Bill (Senate Bills No.22 of 2021) and seek leave to sit again tomorrow. view
  • 22 Dec 2021 in Senate: Madam Deputy Speaker, I beg to move that the House do agree with the Committee on the said report. view
  • 22 Dec 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika. La kwanza ni kuchukua fursa hii kushukuru viongozi wa Seneti na Maseneta wenzangu jinsi tumeendelea mwaka huu na miaka nne iliyopita. Ninakumbuka siku ya kwanza ulipotupeleka orientation. Ninakumbuka nilikuuliza kama nitawahi weza kutunga sheria hata moja. Leo hii ninaposimama hapa nimepitisha Miswada yangu zaidi ya mbili na Hoja mbali na zile za Kamati, na bado ninaendelea. Bw. Spika, nina kushukuru kwa njia umetuelekeza na kutufunza. Nimepata kujifunza kutoka kwa Maseneta wenzangu namna ya kuendeleza mambo ya siasa. Hapo awali nilikuwa mwalimu. Sasa hivi nimegeuzwa na kuwa mwanasiasa kamili. Ningependa pia kushukuru wengazu kwa kupitisha Budget Policy Statement view
  • 22 Dec 2021 in Senate: ingawa bajeti hiyo haina pesa za kutosha kuenda mashinani. Inamaanisha kwamba huduma kule mashinani hazitatimizwa kikamilifu, haswa tukiangalia upande wa elimu. Mimi binasfi nimepata kujua kwamba mambo ya wanafunzi kugoma kila wakati ni kwa sababu ya upungufu wa matumizi katika shule na msongamano katika bweni na vyumba vya mamkuli. Ninafikiri kwamba tukiendelea kuongelea haya mambo, Serikali kuu itatuongeza pesa ili mambo kama haya yaweze kuangaliwa ili huduma zipeanwe inavyo stahili. Bw. Spika, msimu huu si wa Krismasi pekee bali pia ni msimu wa siasa. Ningependa kuhimiza Wakenya wenzangu kwamba wakati huu sio wa kuenda kupiga kura mara ya mwisho. Tutapiga ... view
  • 2 Dec 2021 in Senate: Mr. Temporary Chairman, Sir, I beg to move- view
  • 2 Dec 2021 in Senate: THAT Clause 3 of the Bill be amended in paragraph (b) by deleting the words ―special needs‖ appearing immediately after the words ―trainees with‖ and substituting therefor the word ―disability‖. view
  • 2 Dec 2021 in Senate: Mr. Temporary Chairman, Sir, I beg to move- view
  • 2 Dec 2021 in Senate: THAT Clause 4 of the Bill be amended— (a) in paragraph (d) by inserting the words ―in collaboration with the respective county executive committee members‖ immediately after the words ―training and education‖; and (b) by inserting the following new paragraph immediately after paragraph (m)— (n) registration and accreditation of private vocational and education training centres in collaboration with the respective county executive committee members. view
  • 2 Dec 2021 in Senate: Mr. Temporary Chairman, Sir, I beg to move- THAT Clause 5 of the Bill be amended — (a) in paragraph (a) by deleting the words ―procure and‖ appearing immediately before the words ―put in place‖; (b) in paragraph (f) by deleting the words ―special needs‖ appearing immediately after the words ―trainees with‖ and substituting therefor the word ―disability‖ view
  • 2 Dec 2021 in Senate: Mr. Temporary Chairman, Sir, I beg to move- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus