Millicent Omanga

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 296.

  • 23 Feb 2021 in Senate: ya Kaunti ya Nairobi. Seneta ambaye alipiga kura kwa niaba ya Nairobi ni Sen. Sakaja. Sikupata nafasi ya kupiga ile kura, lakini nilikuwa mwana kamati na tulitoa maoni yetu. view

  • 23 Feb 2021 in Senate: Bw. Spika, namalizia kwa kusema kwamba afya ni jambo la--- Shida ambazo tumekuwa tukiona katika Wizara ya Afya zinafaa kupewa kipao mbele. Madaktari wetu wanalalamika kwamba hawalipwi vizuri. Hatuna madaktari maalum wa ugonjwa wa Saratani. Hii ni kwa sababu kusomea huu ungonjwa wa Saratani unachukuwa muda mrefu na fedha nyingi sana. Daktari akimaliza kusoma, hawezi kuja kufanya kazi kwa hospitali zetu za kitaifa ama kaunti kwa sababu hawalipi vizuri. Serikali Kuu na zile za kaunti zimeweka fedha kwenye miradi mingine na afya haipewi kipao mbele. Hii ndio kwa sababu sasa hivi Serikali imepea Building BridgesInitiative (BBI) kipao mbele badala ya ... view

  • 10 Feb 2021 in Senate: Madam Deputy Speaker, on a point of information. view
  • 10 Feb 2021 in Senate: Madam Deputy Speaker, some of these gaps and issues will be sorted in the Building Bridges Initiative (BBI). It is in the BBI. view
  • 17 Dec 2020 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I stand to oppose this Motion. These are interesting times to live in. When I heard the Member of the County Assembly (MCA) talk about intimidation, it was closer home because you know the kind of intimidation that even Members of this House have gone through. view
  • 17 Dec 2020 in Senate: Mr. Speaker, Sir, you know that even in this House, even leadership or Chairpersons of committees, are not there by merit. It is because maybe they are robots to orders from above, from the Executive. Mr. Speaker, Sir, because of time, I just want to read one thing. We lost a colleague. I am actually mourning Sen. (Dr.) Kabaka. The last message Sen. (Dr.) Kabaka wrote on our WhatsApp group, three hours before he went to the hospital--- view
  • 17 Dec 2020 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I cannot substantiate the obvious. I want to read the last message Sen. (Dr.) Kabaka wrote on our WhatsApp group. view
  • 17 Dec 2020 in Senate: Thank you. I am guided, Mr. Speaker, Sir. I want to read the last message Sen. (Dr.) Kabaka wrote on our social group to plead with Members. If want Sen. (Dr.) Kabaka to rest in peace, let us rest him in peace by granting him what he requested on our WhatsApp group. I will read--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus