23 Mar 2021 in Senate:
Ningependa pia kupongeza chama cha Wiper Democratic Movement (WDM) kwa kujiunga na chama changu cha Jubilee Party, ambacho kilileta akina mama shupavu kama Naibu Spika, Sen (Prof.) Kamar, na Sen. Susan Kihika ambao walichaguliwa kutoka kaunti The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
23 Mar 2021 in Senate:
kubwa sana Kenya hii. Chama cha WDP pia kimejiunga na chama kingine cha United Democratic Alliance (UDA) ambacho kilimchagua Sen. Dullo kutoka Isiolo kuwa Seneta.
view
23 Mar 2021 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Ningeomba Maseneta wenzangu wawe watulivu na wasikize kwa makini. Sikusema kwamba wameungana kisiasa. Nilisema kwamba wamejiunga kwa vyama vile ambavyo viliteua akina mama kwa Bunge hili. Kimekuwa sasa chama cha tatu. The Party of Development and Reforms (PDR) ambayo imebadilishwa na kuitwa UDA, ilileta Sen. Dullo kwenye Seneti. Jubilee Party ilileta mama shupavu, Sen. Kihika, na Sen. (Prof.) Kamar. Sasa WDM ni chama cha tatu. Sijasema kuwa tuko na muungano wa kisiasa. Bw. Spika, ningependa kuwapongeza watu wa Machakos na kumwambia Sen. Kavindu Muthama kwamba Sen. (Dr.) Kabaka alikuwa mtu ambaye ana--- Sijui kama ninaweza kuchanganya na ...
view
23 Mar 2021 in Senate:
Viatu vya Sen. (Dr.) Kabaka vilikuwa vikubwa. Ningependa kumpa moyo Sen. Kavindu Muthama nimwambie kuwa anaweza kwa sababu nimekuwa na yeye na nimeona vile anafanya kazi yake. Huyu mama anaweza. Asante, Bw. Spika.
view
23 Feb 2021 in Senate:
Asante Bw. Spika. Kwanza ningependa kutoa rambirambi zangu kutoka kwa familia yangu na watu wa Nairobi kwa jumla. Tunasema pole kwa watu wa Kiambu, hasa Juja. Mhe. Waititu ni mtu ambaye ungemuita hustler. Umesikia Seneta wake akisema kwamba alianza kama kijana wa mkono lakini akafanya kazi kwa bidii hadi akawa meneja. Alifanya biashara kwa bidii hadi akawa Mbunge wa Juja kwa muhula wa pili. Niliweza kumjua Mhe. Waititu wakati tulifanya kazi pamoja katika ile vuguvugu ambayo wengi wanaiita „Tangatanga‟, „ hustler’ au „kazi ni kazi.‟ Pale ndipo niliweza kumjua kama mtu mjakazi sana. Mhe. Waititu alikua anapenda kazi yake na ...

. Ilikuwa ni shamba ya umma. Mwenyekiti wa Kamati hiyo alikuwa Sen. M. Kajwang‟.
view
23 Feb 2021 in Senate:
. Ilikuwa ni shamba ya umma. Mwenyekiti wa Kamati hiyo alikuwa Sen. M. Kajwang‟.
view
23 Feb 2021 in Senate:
Samahani, Bw. Spika. Hata hivyo hiyo sio ukweli. Mimi niko kwa
view
23 Feb 2021 in Senate:
Samahani, Bw. Spika. Hata hivyo hiyo sio ukweli. Mimi niko kwa
view