Millicent Omanga

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 171 to 180 of 296.

  • 5 Nov 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order No.48(1), I rise--- view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Pursuant to Standing Order No.48(1), I rise to seek a Statement from the Standing Committee on Devolved Government and Intergovernmental Relations regarding the allegation of misuse of funds and the ongoing chaos at the Nairobi City County Government. In the Statement, the Committee should - (1) Outline any measures it has put in place to verify claims made on the misuse of funds at the Nairobi City County Government, given that it collects up to Kshs10.1 billion in revenue. (2) State the measures it is putting in place to investigate claims that taxpayers’ money has ... view
  • 5 Nov 2019 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I think the Senate Majority Leader is trying to intimidate Sen. Cheruiyot the way he has been intimidating us from this side because of this Bill. view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika. Nitakuchangia Hoja hii kwa kutumia lugha ya Kiswahili ili wale wananchi ambao wananisikiliza waelewe jambo ambalo tunalizungumzia juu yake. Napinga Hoja hii vile nilivyoipinga kwenye Kamati. Sijabadili msimamo bado nasimama na “Wanjiku, Nyaboke na Akinyi’. Katika ripoti ya Kamati mimi ni mmoja waliyolipinga jambo hili la mkopo zaidi kwa wananchi. view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Bw. Naibu Spika, kaimu Waziri wa Fedha alipokuja kwetu akiuliza waongezewe kiwango cha kuchukua deni hakuleta ratiba ya kuonyesha pesa hiyo itafanya nini. Ukiona Bajeti kama vile Mhe. Cheruiyot alivyosema ile deficit iliyokuwa kwa ile pesa ilikuwa Kshs1.2 trillioni. Ukiweka inafaa pesa wanayohitaji--- view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Nakisia kuwa Kshs7.5 trillioni. Sasa wanahitaji Kshs9 trillioni. Kwa nini hawatupi ratiba pesa hii yoyote ni nini inafaa kufanyia? Tunajua Kenya hii uporaji wa pesa unatoka kwenye bajeti. Ni kwa sababu hiyo unaona katika bajeti nyingi, kwa mfano, National Youth Sevice (NYS) tulipoteza mabilioni ya pesa. Watu hao wa NYS hadi sasa hawajashikwa na kuchukuliwa hatua yoyote. Tuna ona Serikali ikikimbizana na wachache tunaoambiwa ni wa Kshs20 milioni kama vile Gov. Sonko. Anakimbizwa kwa sababu eti Kshs20 milioni iliwekwa kwenye akaunti yake lakini tuna mabilioni ambayo yalipotea wakifanya bajeti kwenye NYS. Hadi sasa wale ambao waliokuwa kwenye vyeo na kuidhinisha ... view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Nimeelewa, Bw. Naibu Spika. Nasema kuwa tumekuwa tukiongeleshwa--- view
  • 5 Nov 2019 in Senate: Bw. Naibu Spika, nimesikia. view
  • 5 Nov 2019 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus