Millicent Omanga

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 241 to 250 of 296.

  • 25 Jul 2019 in Senate: Kwa sababu ya ufisadi, utapata maafisa ambao wanafaa kukagua hivi vyakula madukani hawatilii maanani. Wanachukua tuu hongo na hawazingatii viwango vinavyotakikana. Wananchi wanafaa sasa kula mboga tuu au tununue nyama Halal . Kwa mfano, ninanunua nyama kutoka kwa maduka yanayo uza nyama halali kama sivyo, tunakula mboga tuu. view
  • 25 Jul 2019 in Senate: Haya ni mambo ambayo tunafaa kuangalia. Hata tukiweka sheria, tufuate ile sheria ya Kiislamu jinsi wanavyotengeneza nyama yao. Tukibuni sheria, hayo ni mambo ambayo Kamati ya Afya inapaswa kuangalia. Hii ni kwa sababu hatujasikia kuhusu duka lolote linalouza nyama Halal likiuza nyama ambayo ina chembe za sodium na kadhalika. Nina pendekeza sote tuanze kula nyama Halal . view
  • 25 Jul 2019 in Senate: Asante Bw. Spika. view
  • 25 Jul 2019 in Senate: On a point of order Mr. Speaker, Sir. view
  • 25 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, Seneta kutoka Kilifi ana sema ya kwamba watu ambao wana kubalia nyama ambayo ina sumu kwenye supermarket sio wafisadi ilahali view
  • 25 Jul 2019 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 25 Jul 2019 in Senate: hao watu wamekubalia hiyo nyama kuwa katika maduka yetu. Je hiyo ni halali? Anasema eti hatuwezi kuwaita wafisadi mpaka wapelekwe kortini. view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I second. view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I second. view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I eagerly second. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus