Millie first thought about becoming Mbita MP at age 13. The graduate of University of Nairobi School of Law has worked as a lawyer and women and children rights activist. The CRADLE is one of the MP’s dream come true. She founded the organization that promotes the rights of children since 1997. Millie has received the YWCA Democracy Award and the Eve woman of the year for human rights and gender. Her political tipping point came when she served as a delegate at the Bomas of Kenya, during the constitutional drafting process. ODM party nominated her to Parliament 2008 and she clinched the Mbita seat in the 2013 election.
6 Nov 2019 in National Assembly:
THAT, Clause 27 of the Bill be amended in Paragraph (b) by deleting the words “physical or” immediately after the words “data subject has”. It provides that a right conferred on a data subject may be exercised where the data subject has a physical or a mental disability, by a person dully authorised to act as their guardian or administrator. I am wondering why somebody would, for example my sister, Hon. Dennitah Ghati or Hon. Tim, require a guardian or an administrator. Physical disability does not inhibit anybody in any way. For mental disability, I can understand, but for physical ...
view
6 Nov 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairlady, I will be comfortable with what Hon. Otiende is proposing. We remove “physical” and say “mental or other disability”, so that if you have a disability that you cannot operate, you will need a guardian or an administrator. A guardian and an administrator have specific legal implications.
view
6 Nov 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I beg to move:
view
6 Nov 2019 in National Assembly:
THAT clause 2 of the Bill be amended in definition of the term “sensitive personal data” by inserting the words “property details, marital status, family details including names of the person’s children, parents, spouse or spouses; immediately after the words “biometric data”. My amendment seeks to include certain categories into sensitive personal data. I seek to include property details, marital status and family details including the names of person’s children, parents, spouse or spouses as sensitive personal data.
view
5 Nov 2019 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Speaker.
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii niunge mkono Hoja hii ya Uidhinishaji wa Toleo la Kiswahili la Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa, ambayo imeletwa na Mwenyeketi wa Kamati ya Utaratibu na Masharti ya Bunge. Wahenga walisema kuwa Wabara hawaongei Kiswahili na “Kiswahili si mdomo chetu”. Kwa hivyo, naomba mtu asisimame kwa hoja ya nidhamu ya kukataza nisome mchango kwa sababu ni lazima nisome. Ni muhimu kutafsiri Hoja hadi Kiswahili kwa sababu ni lugha ya taifa. Mhe. Spika, nimesema watu kama Mhe. Junet wasinisumbue! Nimesema Wabunge wasisimame kwa hoja ya nidhamu kukataza nisome mchango kwa sababu ni ...
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
kwa kufanya kazi nzuri Bungeni, nikimaliza nipatiwe nomination kwa sababu ya kujaribu kuongea Kiswahili. Lakini ninajua tukiamua kuchangia Hoja kwa lugha ya Kiswahili, kila wakati watu wengi watatoroka kama walivyotoroka. Ndiyo itaeleweka ni wangapi wanaelewa Kiswahili na wangapi wanatangatanga. Imeonekana wazi mchana kwamba mimi siwezi tangatanga katika Kiswahili kwa sababu naelewa lugha hii. Naelewa lugha ya Kiswahili lakini mngeniambia kurefer ni nini The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
kwa Kiswahili ili niambie hawa wawache kunisumbua. Nafanya kitu kinaitwa kurefer . Nimeruhusiwa kusoma dondoo. Nasema kuwa tusitafsiri tu Kiswahili. Kuna vijana wengi wa mtaa ambao wanaongea kwa Sheng . Tafadhali tukienda mbele, tuhakikishe kuwa tumeweka
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
. Kuna wengi wetu ambao wanaongea Sheng . Ukikwama, unaongea Kiingereza halafu unasema unajua Sheng. Lakini ni shida tu ya Kiswahili ndio unapata. Kwa hivyo, kwa sababu ya watu kama mimi ambao wana shida kidogo kidogo, wacha tutafsiri kwa Sheng ili mimi pia niweze kuponyoka.
view
30 Oct 2019 in National Assembly:
Mhe. Spika, ningeomba unilinde dhidi ya wale wanacheka bila kunyamaza. Jukumu letu ni kuhakikisha kuwa Wakenya wanafahamu yale tunasema Bungeni. Ndio sababu nasema ingefaa tutafsiri kwa Sheng . Nataka pia kupongeza Wanyarwanda kwa sababu tayari wameongeza Kiswahili kama lugha ya taifa. Ningeomba pia Kenya tuongeze Kifaransa ndio sasa tutakuwa na kile kitu kinaitwa Pan Africanism . Hawa wengine wanajifanya wanajua Kiswahili sasa wajaribu kutafsiri Pan Africanism. Najua hawajui. Mhe. Spika, ingawa tunaongea kuhusu Hoja ya Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa, tusisahau kuzuia mmomonyoko wa ardhi. Tusifanye tu leo lakini tufanye kesho, kesho kutwa, mtondo na mtondogoo. Nilikuwa nataka ...
view