Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
2 Oct 2019 in National Assembly:
the International Maritime Organization (IMO). KFS as it is constituted today cannot adequately fulfill its public mandate. There is a need to establish a Kenya Ferry Corporation to oversee the management, operation and maintenance of ferries in the most efficient way in all waters of Kenya. By doing so, KFS will relieve the country of many problems currently experienced in the maritime transport sector. It is critical that we interrogate the insurance of the ferries. There is urgent need to ensure that there is compulsory insurance for both ferries and passengers. This way, in case of accidents, the company will ...
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
In fact, I have just finished. I was just rewinding. My last point was to propose and second the issue of having a bridge at the Likoni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Channel. The people of Mombasa County, Coast at large and even Kenyans are really waiting for that initiative of having a bridge. I want to call upon Hon. Mwashetani to second me on the same.
view
6 Aug 2019 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Hata mimi nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na Mbunge mwenzangu kutoka Mvita kuzungumzia mambo ya uchukuzi wa shehena ama makasha katika bandari yetu ya Mombasa. Nazungumzia suala hili kwa sababu agizo hili ambalo limetolewa kwamba kila kasha, shehena ama mizigo ambayo itaingia poti itumie reli ni jambo ambalo litaathiri uchumi, haswa wa sehemu ya Mombasa, Pwani na hata Kenya kwa jumla. Tunajua kwamba wakati wafanyibiashara wanaleta mizigo ama mali kutoka sehemu tofauti tofauti, mali hii huwa si ya Nairobi peke yake. Mali nyingine ni ya Mombasa, nyingine ni ya Voi na sehemu ...
view
6 Aug 2019 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Hata mimi nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na Mbunge mwenzangu kutoka Mvita kuzungumzia mambo ya uchukuzi wa shehena ama makasha katika bandari yetu ya Mombasa. Nazungumzia suala hili kwa sababu agizo hili ambalo limetolewa kwamba kila kasha, shehena ama mizigo ambayo itaingia poti itumie reli ni jambo ambalo litaathiri uchumi, haswa wa sehemu ya Mombasa, Pwani na hata Kenya kwa jumla. Tunajua kwamba wakati wafanyibiashara wanaleta mizigo ama mali kutoka sehemu tofauti tofauti, mali hii huwa si ya Nairobi peke yake. Mali nyingine ni ya Mombasa, nyingine ni ya Voi na sehemu ...
view
3 Jul 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninashukuru sana kwa kupata hii nafasi. Ninaunga Hoja hii ya Kiongozi wa Walio Wengi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
3 Jul 2019 in National Assembly:
Ningependa kuongea kwa Kiswahili kwa sababu ninaona Kimombo kimetembea sana na kuna wale watu wa mashinani wangependa kuelewa mambo ya Hoja hii. Kwanza kabisa, ninataka kuseme kwamba si tunataka kukejeli Bunge la Seneti ama tunataka kuleta sitofahamu katika Bunge la Seneti. Hii ni Hoja ambayo inataka kuweka mambo sawa, kulingana na Katiba yetu inavyosema. Katika Vifungu 95 na 96, Katiba yetu imezungumzia majukumu na nguvu za Bunge; kwanza, Bunge la Seneti na pili, Bunge la Taifa. Tumelileta jambo hili kwa sababu kumekuwa na dukuduku kwa wananchi kwamba “pengine pesa zetu zinatumika vibaya ama majukumu yanaweza kurudiana rudiana.” Kwa mtazamo wangu, ...
view
3 Jul 2019 in National Assembly:
ama maofisa katika kaunti. Pia kinazungumzia Miswada ya mambo ya fedha. Miswada hii yote lazima iwe ni mujibu wa kaunti.
view
3 Jul 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninataka niseme kwamba tukiangalia Ibara ya Nne, kwa wale hawatafahamu “Ibara” ni nini, ni ile “ FourthSchedule ”… Ibara hiyo imezungumzia haswa zile kazi ambazo zinahusu Bunge la Seneti kama kilimo, afya, usafiri katika kaunti na mambo mengi sana ambayo wenzangu waliotangulia wameyazungumzia. Vilevile, Ibara ya Nne imezungumzia yale majukumu ya kitaifa ambayo yanafanywa na Bunge la Taifa. Iwapo Katiba imezungumzia mambo haya kinagaubaga, kwa nini tuwe na sitofahamu? Kwa nini tuwe tunarudiarudia ama ile tunasema duplication wakati tunafanya kazi zetu kama Wabunge? Wakati mwingi sana, kuna suala limeangaziwa na Bunge la Seneti na Bunge ...
view
3 Jul 2019 in National Assembly:
, inaangalia mambo ya kimataifa. Kwa hivyo, hizi wizara ambazo hazina mambo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view